Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 824
- 133
Heheheh kesho tutasikia baadhi ya watu wanatangaza ubingwa. Naona mshafunga magoli ya mechi zenu tatu zijazo.
he he..leo Arsenal mtashangilia kweli kweli!!..
Hello BJ...kushangilia ni muhimu, nacheki hapa chelsea.....
Hey Ba'Mkubwa, kweli mkuu angalau leo mna:smile-big:..Walcott kafunga??mana sikuangalia hiyo mechi!!
Utupe na matokeo ya Chelski..enjoy the game!!
he he..leo Arsenal mtashangilia kweli kweli!!..
kafunga goli 3 leo anaenda kulala na viatu vyake na mpira aliopewa anafanya mto.:..Walcott kafunga??!
Chelsea wanaongoza kwa goli 1..........
yahoo::GOAL! CHELSEA TAKE THE LEAD THROUGH MALOUDA! Cole breaks foward before pulling back to Lampard, whose stab at goal is brilliantly saved by Kirkland! But he can only parry out towards Malouda, who reacts way ahead of the dozing Fugueroa to slot home into an empty net!:::
hatujashangilia mama mbona unatuchokoza? lol blackpool hawa wadogo zake liverpool lool hatuwezi kushangilia.
kafunga goli 3 leo anaenda kulala na viatu vyake na mpira aliopewa anafanya mto.
Aisee,nao leo tena 6-0!!..wanawaonea Wigan,lol..thanx for updates
Usiniambie mlitegemea ushindi,ha ha..poor blackpool
Awwww!nitalala vizuri pia, yani yeye ni sababu napenda kuangalia mechi za Arsenal..good job!!
Walikuwa 12 zidi ya 9 blackpool kusiwe na kelele!
Aisee,nao leo tena 6-0!!..wanawaonea Wigan,lol..thanx for updates
Usiniambie mlitegemea ushindi,ha ha..poor blackpool
Awwww!nitalala vizuri pia, yani yeye ni sababu napenda kuangalia mechi za Arsenal..good job!!Walikuwa 12 zidi ya 9 blackpool kusiwe na kelele!
Piga chenga=dribble...haya basi, arrrgghh.
Ushakuwa mchezo wa kitoto; "Tukiwafunga tumewaonea, tukiwaacha tunawaogopa!"
Eti wendhetu, neno 'kupiga/kupigwa' chenga kwa kidhungu maana yake nini?
BJ, leo MAN U mnaambulia sare kwa FULHAM,...
Ooopssss...
jamaa ushindi wetu kwa blackpool una kukwaza pia? wewe kweli mpinzani.
Naona mumetangaza ubingwa! LOL
sawa mzee wa 6 x 6.
lol .naona man united wamepewa draw.fulham wabishi wale.Yuko wapi bubu naambiwa anasherekea mpaka amepitiliza!
...haya basi, arrrgghh.
Ushakuwa mchezo wa kitoto; "Tukiwafunga tumewaonea, tukiwaacha tunawaogopa!"
Eti wendhetu, neno 'kupiga/kupigwa' chenga kwa kidhungu maana yake nini?
BJ, leo MAN U mnaambulia sare kwa FULHAM,...
Ooopssss...
lol .naona man united wamepewa draw.fulham wabishi wale.