Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwani msimamo hamjui kuwa mwisho wa siku mnaelekea futuhi?Huyu bwana kwenye thread yetu hatupumui.
Huwezi amini zile replies 107k katika thread yetu nusu ni za AROON
Nafas ya 6 ni manyua hiyo mpaka ligi iisheNext stop (away matches)
Watford
Wolves
Burnley
Lazima game mbili au zote mdondoshe points hapa
Wazee wa sita bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nawataka mpaka mwisho wa msimu tuone nan anaenda futuhiHapo kwa Wolves tia tick tayari washapoteza
Kumbe nawakera ,sasa ombea msiende futuhi,Jamaa anakeraga huyu... Mda wote yupo kule kwetu ila leo kakimbia kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakat nafungwa ,wewe na timu yako mbovu utakuwa unashinda?
Haahaa Arsenyeto tayari ashabook ticket yake ya futuh, hilo halina mjadalaMm nawataka mpaka mwisho wa msimu tuone nan anaenda futuhi
Nitakuja kufukua makaburi
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kumbe wewe ni manyumbu,Hapo haonekani tena mpaka siku ya game yetu na Barca. Atakuja kutufanyia fujo huyu hutoamini kama alifungwa na Everton.
Kwakujifariji hamjamboKwisha habari yao
Unashindwa kuwa na wasiwasi na timu lako bovu lipo namba 6, unawasiwasi na arsenal ambayo itamaliza nafas ya 3?Mimi nina wasiwssi sana na Palace, naona hapo napo watadondosha point.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilienda wapi? Hao waliocheza leo ni misukule? Unatafuta tu visababu visivyo na mashikoNafas ya 6 ni manyua hiyo mpaka ligi iishe
Usichokijua Leo arsenal kapoteza kwakuwa midfield first eleven hazikuwepo zote
Sasa jifariji wakati una man city, na mnakutana na nduguyo cheltako
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hawana uwezo wakuifunga city haoMajirani zetu Everton wamerekebisha, kazi kwenu mechi zenu sasa, hasa ile ye City.
Kwanini unasema hivo, hiyo ndio kazi yake kukaba, Matteo hawez, na lt11 akiwepo ,xhaka anacheza namba 8Hata Torreira mwenyewe hana uwezo mkubwa wa kukaba, hapo wanaoweza kukaba ni Xhaka na Gouendouzzi tu
Bado tu unaendelea kupiga domoUnashindwa kuwa na wasiwasi na timu lako bovu lipo namba 6, unawasiwasi na arsenal ambayo itamaliza nafas ya 3?
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Timu mbovu ipo nafas ya 6Tuna uhakika timu mbovu ndio imefungwa leo...View attachment 1065324
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila MTU apambane kivyake au sio, hiyo mechi mkipigwa namba 4 hamuingiiHatuna mpango wa kushinda hiyo mech unayolazimisha tushinde. Huo mpango hatuna na top 4 tutaingia..wew utaona
Poor manyumbuHalafu kwa performance hii ndio wanajifariji wataingia top four
Poor arsenyeto
Nakwambia nafas ya 5-6 ni yakohichi kimtu na kitimu chake cha kuunga unga na kenyewe kanataka kuingia uefa msimu ujao..hahaha si kitendo cha aibu kabisa hichi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unapiga kelele wakat unajua baada ya mech 3 utakuwa nje ya top 5
Kwanini unasema hivo, hiyo ndio kazi yake kukaba, Matteo hawez, na lt11 akiwepo ,xhaka anacheza namba 8
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Ukweli unajulikana ,namba 6 manyua,namba 5 cheltako
Subir uone
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba