hakuna namna wamestahili kushinda maana zile attempt hatari na zakutoshaTo be sincrely sijaona mchezaji yoyote wa Arsenal aliyecheza vizuri. Labda Goalkeeper
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani ungejua nilichokiandika kabla hujadandia hoja
Upo nafas ya ngapi kwanza timu yako, maana usije kuwa upo namba 6,unabwabwaja tu hapaWewe domokaya.
Bila shaka umeona timu yako ilivyooza, wewe kazi kupiga mdomo tu na top four msimu huu mtaisikia kwenye bomba
Hapana bana domokaya mm sipo nafasi ya sita, hiyo nafasi ipo kwa ajili yenu na Manyua.Upo nafas ya ngapi kwanza timu yako, maana usije kuwa upo namba 6,unabwabwaja tu hapa
Kama ni cheltako , una point 9 lazima uziteme
Sasa endelea kuropoka
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hii Kwenye logic tunaita kauli ya kipumbavuTo be sincrely sijaona mchezaji yoyote wa Arsenal aliyecheza vizuri. Labda Goalkeeper
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho,Ozil siku hiz anajitahid, kwa Leo usimlaumu, kukosekana kwa solid midfield imetugharimu,
Xhaka ,LT11, hawapo, ikabid waanze Matteo na neny ,ambao hawakabi Bali wanakaa na mipira , na neny sio mnyumbulifu kupeleka mipira mbele ili kina ozil waconvert,
Nadhan katika game zilizokuwa zimebak ,hii na ya wolves ndio zilikuwa game ngumu,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Wana fixture nyepesi sana
Kaka yako Chelsea nilipokalishwa apo Goodison Park na babako mkubwa Liverpool aliposuluhu ..ulichonga sanaaa acha ujingaaaEverton 2 Chelsea 0
Next una Liverpool na manyua, westham
Kuwa mpole
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Wachawi mshafika
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Labda nafasi ya tatu kutoka mwisho...Sio top 4, nafas ya 3 kabisa
Lt11 adhabu yake imeisha Leo,
Next match atakuwepo, xhaka pia atakuwa amerejea
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Usiongee kuhusu top 4, hakuna mwenye uhakika na hapo zaidi ya lpool na cityWewe domokaya.
Bila shaka umeona timu yako ilivyooza, wewe kazi kupiga mdomo tu na top four msimu huu mtaisikia kwenye bomba