Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Xhaka majeruhi,tuache lawamaHii elneny ni mbovu kabisa. Sijui ilikuwaje ikapangwa
Hayabadiliki hata kidogo,Ahaha yan mkuu ligi ya mwaka huu kweny vita ya top 4 ni hatar sana.....kama hapa tayr mahesab yanabadilika tena
Naomba matokeooooHivi huoni umeshikishwa pazia kepa kwa hela ndefu ,na jojino ,hakuna hata wanachofanya
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Uwezo mdogo, iwobi hatakiw kuanzia nje kwa wachezaji wa emeryUnai ameanzisha kikosi ovyo kabisa
Hahahahahahahahah
Everton 2 Chelsea 0
Kukosekana kwa combo ya xhaka Ramsey ,au xhaka toreiraTo be sincrely sijaona mchezaji yoyote wa Arsenal aliyecheza vizuri. Labda Goalkeeper
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekueleza kabisa Özil ni mbovu...Xhaka majeruhi,tuache lawama
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Sio top 4, nafas ya 3 kabisa
Arsenal halisi tusife moyo,kumaliza top4 ni lazima.
Wewe domokaya.Sasa hivi wachezaj wote Arsenal wanajua kitu gani tunakitafuta uwanjan! I hope tutashinda game
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mpira wa kurusha hauna offside.Aliyerusha mpira uliozaa goli, mguu ulivuka mstari wakati anarusha mpira
Haaahaa domokayaHayabadiliki hata kidogo,
Kumbuka wewe una man city, una mwenzako Chelsea, una Everton, una westham
Msijifariji
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Ozil siku hiz anajitahid, kwa Leo usimlaumu, kukosekana kwa solid midfield imetugharimu,Mkuu nimekueleza kabisa Özil ni mbovu...
Yani kama ni komando basi komando asie weza hata kunyonga mtu, komando wa mbinu moja au mbili
Sent using Jamii Forums mobile app