Rekodi yetu away ni mbaya mnoooo!!
Nakupinga kaka ,labda kama unamaanisha msimu uliopita ,ila kwa msimu huu ugenini tumeimarika
Mpaka sasa tumepoteza game za away 5 tu. Ambazo katika hizo ni man city, liver na Chelsea
Mbili ni dhid ya soton na westham
Ambapo hizo za big 6 huwa ni 50/50 unapoenda ugenini kupata point zote 3, maana hata wao ni man city pekee aliyechukua point 3 kwetu ,
Mechi ya soton na westham unakumbuka ni kipind ambacho tulikuwa na Janga la mabeki ,wengi walikuwa majeruhi ,ikalazimu game hizo Xhaka acheze kama fullback
Mpaka pale emery alipo switch mfumo wa 4-2-3-1 kwenda 3-4-2-1/3-4-3 ndipo beki line ikatulia na tukaanza kupata cleansheet mech muhimu,
Hivo iwapo hatutapata crisis katika beki line na midfield wakaumia wote , (xhaka na Ramsey ) Bas hakuna ugumu mech za away, nakuhakikishia hilo
Kwenye Europa game zote mbil za away tulipoteza kwa reason ya kupata red cards game zote mbili na kuharibu tactics za mwalimu.
Kwahiyo wanaosubir tutaharibu game za away inabid wasihishi kwa mazoea,
Iwapo first eleven itabaki hii hapa chini, au ikiwa midfield mmoja wapo hata akiwa injury kati ya xhaka au Ramsey , hakuna kitakachoharibika maana Toreira anarud game ya wolves
Kuhusu beki toka tuanze kutumia Mabel watatu imesaidia maana namba 2 asilia belle ni majeruhi, Lichsteiner hawez kupandisha timu,
Niles ni nzuri kuatttack hivo anafit zaid kwenye nafas ya. WINGBACK kwenye mfumo wa 3-4-3 au 3-4--1-2
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba