Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kaforomondo kabudi weweYaan MTU anakuja kumtetea kepa pazia humu
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Pumbavu kweli wewe, mpira hujui
Ubora wa Kipa haangaliwi kwa clean sheets ,
Ni kwenye saves
Ndio maana valdes akiwa barca alikuwa na clean sheets kibao ila alikuwa hawi kipa bora hata barca ichukue treble
Yaan unakuja kwa facts hizo, hujui clean sheets, zinachangiwa sana na beki line
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Yaan nimekushangaa sana , kipa bora hapimwi kwa cleansheetWe jamaa hujiamini kabisa. Leta takwimu tuone nani pazia.Kaforomondo kabudi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa
Wamechomoa
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Nakufundisha kwanza ufahamu ,sio unaropokaNakwambia tena nataka tuone nani mpumbavu leo. Usingekua mpumbavu mwenzangu ungekuja na takwimu za hizo saves. Lakini umekuja na ngonjera kama kawaida yako bado nakuona makalio tu wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikutafutie takwimu ,wakat tunajua pazia, katafute mwenyewe au mech huangaliiagiWe jamaa hujiamini kabisa. Leta takwimu tuone nani pazia.Kaforomondo kabudi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Wewe
Manyumbu wamekaa nafas ya tatu kwa dk12 tu
Vp ww ulikuwa unaota au??
Then uwe unabakiza huu upuuzi huku usituletee kule. Nadhani tushajua mpumbavu ni nani.? Shubamiit!!Nikutafutie takwimu ,wakat tunajua pazia, katafute mwenyewe au mech huangaliiagi
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Yaan kweli ww hujui kitu, ngoja Leo Brighton walifumue pazia lako kepaThen uwe unabakiza huu upuuzi huku usituletee kule. Nadhani tushajua mpumbavu ni nani.? Shubamiit!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nafas unaikalia ww
Ashinde wolves
Anafaa olesendeka