Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 824
- 133
Naona kikosi chetu cha biashara hicho,hilo duara hapo joe cole na gerrard washindwe wenyewe.ngoma yetu ngumu sana tutegemee pasi zetu zikubali ndio zituokoe lakini kwenye physical game leo tutapata shida sana.TEAMS:
LIVERPOOL: Reina, Johnson, Carragher, Agger, Skrtel, Gerrard, Jovanovic, Mascherano, Kuyt, Cole, Ngog. Subs: Cavalieri, Aurelio, Torres, Maxi, Babel, Lucas, Kelly. ///
ARSENAL: Almunia, Clichy, Vermaelen, Koscielny, Diaby, Nasri, Eboue, Sagna, Wilshere, Arshavin, Chamakh. Subs: Fabianski, Rosicky, van Persie, Vela, Walcott, Song, Gibbs
Here we go..................................
Naona tuko peke yetu leo kila la kheri mkuu bila kusahau dua.
Tupo mkuu ila akina Richard, Bala,Mbu na Wacha naona wametingwa pengine wataibukaNaona tuko peke yetu leo kila la kheri mkuu bila kusahau dua.
Mbona hunihesabu alooooooooooooooooooooooo!
Tupo mkuu ila akina Richard, Bala,Mbu na Wacha naona wametingwa pengine wataibuka
kwenye kundi lipi?
Vipi kapteni mbona hayupo ata rizevu? ama ndio hayuko na fitness?
Gael Clinch ni ucho ucho!
Gael Clinch ni ucho ucho!
...Nipo, nipo ndugu yangu.,..si unajua swaumu hii!
Haya, tupo pamoja....
jamaa naona yupo hapo juu anatusubiria tuteleze aanze kelele zake.
Anacheza na wasiwasi dogo Gibbs yuko fiti sana na hili linamnyima raha Clichy.
Nahisi Wenger anasubiri Carragher achoke ndipo afungulie mbwa ataingia Walcott na RVPDawa ya liverpool ni Walcott tu leo.