Man Utd kampiga PSG na kwenye vibanda umiza nyie ndio mligeuka kuwa washabiki wa PSG
Man kuifunga PSG ni psychological boost kwa United kuelekea kwenye mechi zijazo ikiwemo yenu
United ameonesha pamoja na kuwa na majeruhi wengi bado anaweza kutoa kichapo
Unfortunately for u, the next stop is at Emirates, your home we normally embarrass you
Sent using
Jamii Forums mobile app