Iyo unazungumzia under mourinho !Kama ww umeweza kutegemea matokeo yako utanizuia vp na mimi nisitegemee matokeo yangu ?
Manyau ni vibonde tu au umejisahaulisha game ya kwanza OT kilitaka kuwatokea nini .This time ni emirates ngoja ukakipate pate
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
HV mulipofungwa 3-1 ulikuwa uwanja gani!? Na kama ulikuwa uwanja huo wa Emirates kwanini now wasiweze kwa Mara nyingine?Kama ww umeweza kutegemea matokeo yako utanizuia vp na mimi nisitegemee matokeo yangu ?
Manyau ni vibonde tu au umejisahaulisha game ya kwanza OT kilitaka kuwatokea nini .This time ni emirates ngoja ukakipate pate
YNWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata picha huoni me si shabik wa Arsenal me ni shabik wa LFCHV mulipofungwa 3-1 ulikuwa uwanja gani!? Na kama ulikuwa uwanja huo wa Emirates kwanini now wasiweze kwa Mara nyingine?
Ni kitu gani kinakupa nguvu ya kusema now unashinda kama hizo gemu za swali za OT na Emirates ulishindwa!
Usijipe moyo subiri dakika tisini
Ushabiki kama wako hua unapelekea kukimbia Uzi ikitokea umefungwa!
Kuwa mkomavu kijana acha kuongea vitu kama unapiga ramli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiwe na hofu,Manyau yameingia mtaa wa 4 kwa muda yanasumbua huku mtaani fanyeni weekend myatupe mtaa wa 6 aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Lin umechukuaHIVI HAPA HUWA MNAKUMBUSHANA NI LINI MARA YA MWISHO KUCHUKUA EPL?, AU MNABWABWAJA TU BILA KUJIPIMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani viroba vimeruhusiwa?HIVI HAPA HUWA MNAKUMBUSHANA NI LINI MARA YA MWISHO KUCHUKUA EPL?, AU MNABWABWAJA TU BILA KUJIPIMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila homa ni maleriaHIVI HAPA HUWA MNAKUMBUSHANA NI LINI MARA YA MWISHO KUCHUKUA EPL?, AU MNABWABWAJA TU BILA KUJIPIMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
HIVI HAPA HUWA MNAKUMBUSHANA NI LINI MARA YA MWISHO KUCHUKUA EPL?, AU MNABWABWAJA TU BILA KUJIPIMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Let us hope for the best, Mechi itachezeshwa na Jonathan Moss, akisaidiwa na Simon Bennett na Marc Perry, Fouth official ni Martin AtkinsonUNAI EMERY ASIVYOTABILIKA NA KUWAPA MAKOCHA WAPINZANI SHIDA
Pochettino alipongundua ameingia chaka akafanya tactical switch na kucheza na wing backs. Unai akafanya counter sub ya Ozil na Auba na kuharibu kabisa na kama si makosa binafsi ya Mustafi, Auba na refa Arsenal wangeondoka na point 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man Utd kampiga PSG na kwenye vibanda umiza nyie ndio mligeuka kuwa washabiki wa PSG