Manyumbu ni kitonga, anakufa vzr, tena majeruh wamerud karibu wote, halafu man u kwa FA ni mnyonge kwa arsenal
Toka nimejitambua ,ni mara 2 tu nimeshuhudia man u akimfunga arsenal kwenye FA ni mwaka 1999 goli la giggs, na 2016 ,
Kumbuka pia nina advantage ya home,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umewafatilia man u kipimo halis kinaanzia kwa tot
Ukiangalia man u wanajipandia tu mbele , kwa tot ndio kipimo halis
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wameamua.Unai ameambiwa kama anahitaji kufanya usajili wa maana katika dirisha lijalo basi apunguze waliopo ili kupunguza matumizi ya mishahara hewa......
CECH,WELBECK,LICHTSTEINER,RAMSEY hatutakuwa nao next season
Lakini pia club inacheck offer nzuri ili iwauze MUSTAFI,ELNENY,MIKHITARYAN,OZIL.....
NACHO nae ndio anamaliziamalizia
So hili likifanikiwa basi Unai atatengeneza timu aitakayo lakini asitegemee cash money kutoka kwa mabosi...inasemekana jamaa pesa watakayotoa haitozidi £50m
Sent using Jamii Forums mobile app
Five year ago today we beat Arsenal 5-1 at Anfield, scoring 4 goals in the opening 20 minutes. Skrtel
View attachment 1017135
Kwenye ile big six Arsenal ndio mteremko wa wote.Ila hawa gunners washapokea vipigo vizito kweli. Keshawahi kufa 8, mimi nikampiga 6.
Washazoea vipigo hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Arsenal hii style yetu yakuanza vizuri round ya kwanza na kumaliza vibaya round ya sijui tutaiacha lini. Arsenal kama kufufuka basi ni kuanzia, mwezi tatu mwishoni. Tatizo kronke ndio anayetufanya tunaishi kwa wasiwasi kama tunaoga nje, kila siku sisi tuna kazi ya kubinya korodani.
Kwenye ile big six Arsenal ndio mteremko wa wote.
Sidhani kama kuna msimu Arsenal anaponea vipigo vizito viwili vitatu kutoka kwa teams za big six
Wazee wa possession, short on target sifuri. Piga ua galagaza msimu huu namaliza juu yako, we endelea kuhesabu pasi, wenzio wanahesabu magoli. Nakukumbusha weekend hii unaenda ETHAD.Hahahaaa.. Utazifinya kende mpaka zipasuke. Timu siyo kabila mkuu, karibu the blues furaha kila msimu. Huku utakufa kwa pressure mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa possession, short on target sifuri. Piga ua galagaza msimu huu namaliza juu yako, we endelea kuhesabu pasi, wenzio wanahesabu magoli. Nakukumbusha weekend hii unaenda ETHAD.
Yaani nipanic kwa timu mbovu kama chelsea, subiria kiama chako ETHAD na karibia mechi zako zote kubwa unachezea ugenini na, round ya pili nimekupiga Emirates , city atajigongea baada ya hapo unaenda OT kunyooshwa, Liverpool anamaliza kabisa Anifield . Timu huna ndugu yangu na ndio maana nina uhakika kumaliza jua yako.Hahaa.. Umepanick sana. Sasa unamaliza juu ya nani.! Everton, Bournemouth au Wolves.? Kazakaza unaweza kufika playoff ya EUROPA
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nipanic kwa timu mbovu kama chelsea, subiria kiama chako ETHAD na karibia mechi zako zote kubwa unachezea ugenini na, round ya pili ninegonga, city atajigongea baada ya hapo unaenda OT kunyooshwa, Liverpool anamaliza kabisa Anifield . Timu huna ndugu yangu na ndio maana nina uhakika kumaliza jua yako.
Mimi mwenyewe na beki yangu ya kuunga unga ninekupiga mbili bila, sasa hao City wanaopigania ubingwa si watakudhalilisha. Msimu huu ndugu timu huna labda msimu ujayo.Ndio timu sina kabisa. Ila siyo kinyonge kama unavyodhani. Round ya kwanza iliyoisha ni Tot pekee ndio kanipiga wengine wote walikua wanahaha. Sasa round ya pili ndio unataka kunitishia nyau? Nadhani Chelsea huifahamu vizuri, yan katika top 6 yote nipoteze mecho zote hizo. Hahaaaaa
Ngoja nikuoneshe nachoenda kufanya The Citizen Jpil pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe na beki yangu ya kuunga unga ninekupiga mbili bila, sasa hao City wanaopigania ubingwa si watakudhalilisha. Msimu huu ndugu timu huna labda msimu ujayo.
Tusikimbiane tu.Mkuu mimi nimeshakubali timu sina. Ila siyo kinyonge kama unavyo dhani. Naenda kwa Man City kutafuta draw tu. Then namsubiri Tot nyumbani nimbutue kama tatu za maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo mkuu. Sinaga majukwaa ya kushinda zaidi ya JF.Tusikimbiane tu.
kamalize noma na bono huko kwanza then ndio uje kuleta hizi shombo zako hapa maana ukipigwa mimi nakuja kuweka kambi pale kama kawaidaFive year ago today we beat Arsenal 5-1 at Anfield, scoring 4 goals in the opening 20 minutes. Skrtel
View attachment 1017135
Hahaha sio shombo bana ni leo tu katika kumbukumbu. Kesho karibu sana mkuu uje ushuhudie mambokamalize noma na bono huko kwanza then ndio uje kuleta hizi shombo zako hapa maana ukipigwa mimi nakuja kuweka kambi pale kama kawaida
timu za uingereza zikiwa zinakutana na chelsea zinaimbaga wimbo wa mafongo zamu ya nani leoooooooooo.............wewe juzi ulikuja geto ukapigwa viwili leo unapita kunitukana dahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh kweli ............ hana shukraniHahaa.. Umepanick sana. Sasa unamaliza juu ya nani.! Everton, Bournemouth au Wolves.? Kazakaza unaweza kufika playoff ya EUROPA
Sent using Jamii Forums mobile app