Kuhusu Ozil, Ramsay na Gunduz umeongea pumba Mzee, kama unampenda Unai we Mpende tu sa ulitaka Ozil afanye nini kwa Mda ule, ana mda gani ajacheza,. Gunduz toka aanze kucheza kafanya lipi la maana game 20+ No Asst No Goal.. Sema Unai kashindwa kumtumia Ozil na si kuanza kumdis ozil kwa dk chache alizochezaTimu yetu inacheza vizuri Hadi inatisha wapinzani. Kama ni INJURIES ase huyu kocha wetu huwa anapata wakati mgumu sana kujua afanye nini. COZ injury tunazopata imekua ni moja ya maisha yetu.
Any way juzi tumefungwa na MAN UTD kwenye mechi muhimu FA CUP Tena tukiwa Nyumbani.
SHIDA YETU SIO MWALIMU WALA NANI. WACHEZAJI KWA 98% WANAENDA KUFANYA KILE WALICHOAGIZWA KUFANYA.
SOKRATIS anaumia anaingia MUSTAFI kitu ambacho mwalimu hakutaka kiwe. Hivyo hivyo Kwa KOSCIENLY anaumizwa vibaya inabidi kocha afanye substitution ambazo hakutaka afanye.
ANAMUINGIZA GUENDOUZ SABABU TULIKUWA NYUMA NA KIMPIRA TULIWAZIDI. NA TULIHITAJI KUSAWAZISHA
Kama ni ISSUE ya AUBAMEYANG NA LACCAZETTE kama nyie mlivyokuwa mkitaka waanze kwa pamoja cku hizi wanaanza na bado tunafungwa.
Kama ni issue ya MESUT OZIL kucheza hiyo cku alicheza Na tulifungwa. Kama ni issue ya ARON RAMSEY nae halikadharika.
WENGI WETU TULIKUWA TUKIONGEA MANENO MABAYA KUHUSU GUENDOUZ NA IMEKUWA KAWAIDA YETU. LAKINI JUZI ALIINGIA TUSHAFUNGWA.
Now tumebaki kumshauri EMERY afanye hiki hichi hasifanye. Kwanini tusipewe timu sisi kama ni kazi rahisi.
Timu yangu ilicheza vizuri sana lakini tulikosa mipango. Mashot tulipiga na mpira tulimiliki bahati ilikuwa kwao .
SASA WEWE UNAMLAUMU EMERY KWA KIPI ULITAKA AKAFUNGE YEYE.
TUMLAUMU KOCHA KWENYE USAJIRI TU LAKINI SIO KWA MATOKEO ANAYOPATA UWANJANI. KWANI YEYE ANAPANGA KIKOSI KIENDE KIKASHINDE NA SIO KIKAFUNGWE
TIMU YETU INAHITAJI USAJIRI MZITO HII.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Hector, duh, si mchezo, ila tutafika tu...Inauma kwa hisia wana arsenalView attachment 1002318View attachment 1002319
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa au umebaka mada?Kuhusu Ozil, Ramsay na Gunduz umeongea pumba Mzee, kama unampenda Unai we Mpende tu sa ulitaka Ozil afanye nini kwa Mda ule, ana mda gani ajacheza,. Gunduz toka aanze kucheza kafanya lipi la maana game 20+ No Asst No Goal.. Sema Unai kashindwa kumtumia Ozil na si kuanza kumdis ozil kwa dk chache alizocheza
Sent using Jamii Forums mobile app
RealKuhusu Ozil, Ramsay na Gunduz umeongea pumba Mzee, kama unampenda Unai we Mpende tu sa ulitaka Ozil afanye nini kwa Mda ule, ana mda gani ajacheza,. Gunduz toka aanze kucheza kafanya lipi la maana game 20+ No Asst No Goal.. Sema Unai kashindwa kumtumia Ozil na si kuanza kumdis ozil kwa dk chache alizocheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha unamlaumu vipi kwenye usajiri mkuu?kwa timu kama Madrid,Barcelona,Liverpool,man utd ,man city,PSG,Bayern,Chelsea n.k unaweza ukamlaumu kocha katika usajiri kwa sababu mabosi hutoa pesa za kutosha ambazo wanaweza kuingia sokoni na kununua mchezaji yeyote wamtakae lakini sio Arsenal ndugu kumlaumu emery anayepewa pain 70m kwa ajili ya usajiri was dirisha zima wakati Chelsea pesa hiyo wananunua kipa tu itakuwa ni kichekesho,Timu yetu inacheza vizuri Hadi inatisha wapinzani. Kama ni INJURIES ase huyu kocha wetu huwa anapata wakati mgumu sana kujua afanye nini. COZ injury tunazopata imekua ni moja ya maisha yetu.
Any way juzi tumefungwa na MAN UTD kwenye mechi muhimu FA CUP Tena tukiwa Nyumbani.
SHIDA YETU SIO MWALIMU WALA NANI. WACHEZAJI KWA 98% WANAENDA KUFANYA KILE WALICHOAGIZWA KUFANYA.
SOKRATIS anaumia anaingia MUSTAFI kitu ambacho mwalimu hakutaka kiwe. Hivyo hivyo Kwa KOSCIENLY anaumizwa vibaya inabidi kocha afanye substitution ambazo hakutaka afanye.
ANAMUINGIZA GUENDOUZ SABABU TULIKUWA NYUMA NA KIMPIRA TULIWAZIDI. NA TULIHITAJI KUSAWAZISHA
Kama ni ISSUE ya AUBAMEYANG NA LACCAZETTE kama nyie mlivyokuwa mkitaka waanze kwa pamoja cku hizi wanaanza na bado tunafungwa.
Kama ni issue ya MESUT OZIL kucheza hiyo cku alicheza Na tulifungwa. Kama ni issue ya ARON RAMSEY nae halikadharika.
WENGI WETU TULIKUWA TUKIONGEA MANENO MABAYA KUHUSU GUENDOUZ NA IMEKUWA KAWAIDA YETU. LAKINI JUZI ALIINGIA TUSHAFUNGWA.
Now tumebaki kumshauri EMERY afanye hiki hichi hasifanye. Kwanini tusipewe timu sisi kama ni kazi rahisi.
Timu yangu ilicheza vizuri sana lakini tulikosa mipango. Mashot tulipiga na mpira tulimiliki bahati ilikuwa kwao .
SASA WEWE UNAMLAUMU EMERY KWA KIPI ULITAKA AKAFUNGE YEYE.
TUMLAUMU KOCHA KWENYE USAJIRI TU LAKINI SIO KWA MATOKEO ANAYOPATA UWANJANI. KWANI YEYE ANAPANGA KIKOSI KIENDE KIKASHINDE NA SIO KIKAFUNGWE
TIMU YETU INAHITAJI USAJIRI MZITO HII.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda tuna mediocre players, hatuna wachezaji wazuri wa viwango vya top four, EPL top four inahitaji timu iwe na finest players...Timu yetu inacheza vizuri Hadi inatisha wapinzani. Kama ni INJURIES ase huyu kocha wetu huwa anapata wakati mgumu sana kujua afanye nini. COZ injury tunazopata imekua ni moja ya maisha yetu.
Any way juzi tumefungwa na MAN UTD kwenye mechi muhimu FA CUP Tena tukiwa Nyumbani.
SHIDA YETU SIO MWALIMU WALA NANI. WACHEZAJI KWA 98% WANAENDA KUFANYA KILE WALICHOAGIZWA KUFANYA.
SOKRATIS anaumia anaingia MUSTAFI kitu ambacho mwalimu hakutaka kiwe. Hivyo hivyo Kwa KOSCIENLY anaumizwa vibaya inabidi kocha afanye substitution ambazo hakutaka afanye.
ANAMUINGIZA GUENDOUZ SABABU TULIKUWA NYUMA NA KIMPIRA TULIWAZIDI. NA TULIHITAJI KUSAWAZISHA
Kama ni ISSUE ya AUBAMEYANG NA LACCAZETTE kama nyie mlivyokuwa mkitaka waanze kwa pamoja cku hizi wanaanza na bado tunafungwa.
Kama ni issue ya MESUT OZIL kucheza hiyo cku alicheza Na tulifungwa. Kama ni issue ya ARON RAMSEY nae halikadharika.
WENGI WETU TULIKUWA TUKIONGEA MANENO MABAYA KUHUSU GUENDOUZ NA IMEKUWA KAWAIDA YETU. LAKINI JUZI ALIINGIA TUSHAFUNGWA.
Now tumebaki kumshauri EMERY afanye hiki hichi hasifanye. Kwanini tusipewe timu sisi kama ni kazi rahisi.
Timu yangu ilicheza vizuri sana lakini tulikosa mipango. Mashot tulipiga na mpira tulimiliki bahati ilikuwa kwao .
SASA WEWE UNAMLAUMU EMERY KWA KIPI ULITAKA AKAFUNGE YEYE.
TUMLAUMU KOCHA KWENYE USAJIRI TU LAKINI SIO KWA MATOKEO ANAYOPATA UWANJANI. KWANI YEYE ANAPANGA KIKOSI KIENDE KIKASHINDE NA SIO KIKAFUNGWE
TIMU YETU INAHITAJI USAJIRI MZITO HII.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha unamlaumu vipi kwenye usajiri mkuu?kwa timu kama Madrid,Barcelona,Liverpool,man utd ,man city,PSG,Bayern,Chelsea n.k unaweza ukamlaumu kocha katika usajiri kwa sababu mabosi hutoa pesa za kutosha ambazo wanaweza kuingia sokoni na kununua mchezaji yeyote wamtakae lakini sio Arsenal ndugu kumlaumu emery anayepewa pain 70m kwa ajili ya usajiri was dirisha zima wakati Chelsea pesa hiyo wananunua kipa tu itakuwa ni kichekesho,
Kwa kifupi ukiipenda Arsenal uipende kama ilivyo ....liva wanasajili beki kwa 75m...kipa 65m huku unai anapewa 70m aingie ktk mapambano ya usajiri hahahahahahahahahahahahahahahahaha
SIMLAUMU NA SITOLAUMU KOCHA KATIKA HILI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna unaleta gemu ulizoshinda? Leta gemu ulizofungwa. Sio mpaka nikupe mimi.Sasa sitaki kubisha na kwa maneno lete facts otherwise nitaacha ku-argue na wewe maana nisije kubiahana na MTU asiyeelewa mshabiki tu bila kuwa na hoja....nitakuwa namaliza energy ya bule!View attachment 1006057
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo anatua darajani. Hawez kwenda Arsenal akapoteze mudaIvan #Perisic’s agent has asked #Inter to be sold to #Arsenal. He wants to leave to Premier League, but in this moment there isn’t an agreement between #Gunners and Marotta on bid (#Emery has offered a loan with option to buy, Inter wants €35M). Contacts ongoing. #transfers #AFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha icho kipigo cha mbwa koko mulichopewa na hawa Man United tena kwenye Jiji la wajanja London na kubaki kuliaibisha jiji, sisi kaka zenu tutawafutia iyo aibu. Hawa nyumbu watarudi tena London lakin safari hii watakuwa pale Darajani..Timu yetu inacheza vizuri Hadi inatisha wapinzani. Kama ni INJURIES ase huyu kocha wetu huwa anapata wakati mgumu sana kujua afanye nini. COZ injury tunazopata imekua ni moja ya maisha yetu.