Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuwaga na heshima na bwana wako basi,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu kubwa pekee ambayo najipigia ni Liverpool na Man united ..kwani unaitaji ushahidi kiasi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Liverpool unajipigia kisa tu umenifunga kwenye Carabao?

Wewe ni mwepesi wa kusahau lakini subiri EPL April 13 utapata jibu! Na ukumbuke kuwa Kipindi mwanzo mwa simu upo katika ubora ulipata draw kwenye uwanja wa Darajani sasa subiri uje Anfield uone kiama.
 
#KROENKE OUT #UNAI IN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hadi tufike uko utakuwa ushapoteza sio chini ya gemu tatu na Ku draw nne.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana wako ni mimi niliyeanza kukuweka pale Darajani.

Jana umedhibitisha kuwa huwezi kuifunga Man United..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nimekutia mbili bila bado unaleta dharau!!!!!
angalia head to head ndo utajua nani mwanaume hapo....
shabiki wa united na liver anaweza kuleta hayo maneno shombo lakini sio wewe chelsick huna tofauti na Fulham na Watford pamoja na spurs

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa wewe unaleta utani katika Soccer!

Hivi unaomba H2H na Chelsea?

Chelsea mwambie aweke H2H yeye na Fulham au Everton ambao ndiyo saizi yake lakini sio kumwambia aweke H2H na Arsenal, Liverpool au Manchester.
 
hadi tufike uko utakuwa ushapoteza sio chini ya gemu tatu na Ku draw nne.



Sent using Jamii Forums mobile app

Unadhani haya ni maneno mapya kuyasema?

Nadhani umeshasahau kuwa ulianza na September is coming....
Ukaja na October is coming.....
Ukaendelea na Novermber is coming.....
Ukafika kwenye December is coming....
Ukaunganisha na Christmas is coming.....
Ukaishia na January is coming.....

Lakini miezi yote hiyo tumepita kama utelezi...

Sasa umekuja na new song ya kuwa tutapoteza sio chini ya game 3 na kudraw 4?

Ivi hujui kuwa sisi tukifikia kupoteza game 3 na draw 4 wewe utakuwa umeshashuka daraja?
 
Sasa wewe unaleta utani katika Soccer!

Hivi unaomba H2H na Chelsea?

Chelsea mwambie aweke H2H yeye na Fulham au Everton ambao ndiyo saizi yake lakini sio kumwambia aweke H2H na Arsenal, Liverpool au Manchester.
Akirudi hapa tena kwa maneno haya basi yeye ni konki zaidi ya dudubaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muo alikuwa gundu kwa man u..lakin faida kwa timu zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unaleta utani katika Soccer!

Hivi unaomba H2H na Chelsea?

Chelsea mwambie aweke H2H yeye na Fulham au Everton ambao ndiyo saizi yake lakini sio kumwambia aweke H2H na Arsenal, Liverpool au Manchester.
Hivi ndani ya Miaka kumi Arsenal kabeba kombe gani la maana? FA? Community Shield?

Wewe umebeba kombe gani la maana? FA? Carlin Cup(Carabao)?

Çhelsea tunajenga modern history ninyi bakini na histories zenu za mwaka 47 ..kipindi ambacho hakuna offside, ball technology, referree watano, ndo mulibeba makombe ya ajabu ajabu sijui League division one, two uko..

Afadhali ya Unai ana fainal kadhaa na zote kabeba. Klopp sisi tunajua ni bingwa wa kufeli Dakika za mwisho na ndo maana fainal zote kapigwa vipigo vya aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa kipindi hicho hakuna offaide kwanini wewe ulikuwa hushindi bila ya offside?

Au ulikuwa peke yako ndiyo unatungiwa sheria hiyo ya offside lakini wengine hawana sheria ya offside?
 
Wewe usipoangalia hata Europa unaeza kosa nafasi. Huna timu ya kupeleka Uefa ..komaa upate nafasi Europa tu..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kinachokusumbua ni kitukimoja tu! Hujataka kuamini kuwa Top Four aningia Man United...

Chelsea hawezi kumaliza ndani ya Top Four.

Na kama huamini subiri baada ya michezo Minne tu ujue nafasi yako ilipo.
 
Chelsea pale ni kijiwe cha wavuta bange kina sarri hahahaaaaa naona hadi washabiki moshi umeanza kuwaathiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…