Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ombea wolves apate majeruhi wiki ijayo unaanza kukonda tena una city
Mm sina hofu, wewe utashushwa mtaa wa 7 kwa spid , bado huna ubavu wa kupambania top 4

Unadhan hautadakwa hapo mbele? Ijumaa nakuvuruga
Then unaratiba tight hapo mbele,psg anaenda kukunyoosha , ukirud epl unapelekwa mtaa wa 7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Utakumbuka kikosi cha Jana ndicho kilienda 22 games unbeaten.. Kasoro tu holding, na Ramsey ,kos6 . Hicho ndicho kikosi cha maana.

Tatizo inabid tuongeze watu kwenye bench ,

Denis soon atatangazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha arsenal????? Tabu ipo pale pale siku man u wakiamuaga kumfunga arsenal awe kwake au wapi kichapo tu hata acheze pad macnair kama bek
 
Ijumaa unakuja geto

Mm siongei sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi katika timu ambazo huwa sizifikirii ni hii timu yako ikitokea kashinda ni bahat tu ila tukiamua kufanya yetu ww huna cha kufanya

Mourinho aliwaambia nawaonea huruma sana toka mmehama highbury hamjawahi kushinda kumfunga mech za ligi ila kwa sasa ntawafurahisha kweli mlishinda akawaambia next season siwap nafas tukabutua nje ndani so hata mimi nasema kama sosha akiamua kuwafurahisha ila vinginevyo mtarudi kwenye hali yenu
 
Wewe huwa uko unrealistic unapoizungumzia Arsenal.

Mdomoni kila timu unaifunga. Ila ikija uhalisia unajikuta unakula za uso mbele ya timu mbovu mbovu.
Tuangalieni na historia

Katika michezo 12 ya london derby ambayo arsenal alicheza emirates hajapoteza mchezo hata mmoja

Na jana ilikuwa derby ya 13 emirates bila kupoteza

Tushangilieni ushindi na historia inazidi kuandikwa

Unai amefanya kama muendelezo wa ushindi


COYG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hio ijumaa ni ya ligi.? fuatilia mechi za fa tunavyokubutuaga
 
Ile fowardline ya spurs haikupata hata goli nakufunguka kwetu ndo itakuwa timu legelege hii nakwambia labda sosha awafurahishe
 
Kwa hiyo ndo kombe linapatikana london derby?
 
Ndo maana nasema you are too unrealistic.

Zaidi nitasubiri tu upigwe, sijui utakimbia tena au utatupa sababu yote ni wewe tu.
Nikimbie wapi, mm nakupa uchambuz husika, hutak unataka nikwambie nafungwa, hiv game ya jana kwel chelsea wakumfunga arsenal? Game ya kwanza darajan aliponea chupuchupu, tulimkosa gol 3 clear,

Ya jana dhahir kwatunaofatilia kuanzia mazoezin, plus man u akawa ameshinda ameshampa presha arsenal,

Dk 20 za kwanza chelsea alikuwa anapresiwa tu,

Tukifungwa ni sehemu ya mchezo, ila game za kushinda tutakwambia , huyo manyumbu ANAKUFA mapema ,ijumaa sikeshokutwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio moja tuu fuatilia fa mpaka kombe nmesha chukua kwako
Man u mwenyewe kachukua kombe kwa arsenal ryan giggs katembea na timu nzima ya arsenal tena ile ya watu wa shoka


Labda inawezekana maana arsenal kipaumbele cha wenger ni fa wakat sisi tulikuwa na uefa na epl chini ya sir alex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…