Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Majority of English pundits NEVER give credits to Arsenal, sijui wengi wao Arsenal imewakosea nini? Kuna uwezekano Arsenal iliwachukulia wake zao.
Yaani wengi wao jana wanadai chelsea underperformed ndio maana kafungwa na sio juhudi za Arsenal.
Wengi wetu huwa tunashangazwa na sana na maoni ya hao pundits au hata magazeti kwenye michezo, yawezekana waandishi wengi ni either Manure, Chelski, Spuds au ni London rivals tu, inasikitisha sana...
Kama kwa sasa wanavyoandika kwa masikitiko kuhusu Harry Kane utafikiri kuna kifo?! Kumbe ni kuumia kwa muda na siyo kwamba hawana strikers wengine!
 
Hamjui ni kiasi gani tulikuwa tunataka nishinde ili gap la point baina yetu na Chelsea lipungue. Ninyi hamtusumbui hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati nyie mnahangaika na kocha wa nne kurudisha timu angalau top 4, arsenal ni kocha 1 tu tena msimu wa kwanza baada ya wenger kuondoka tayari anapambana top 4, huoni utofauti hapo?
 
Arsenal Player Wages & Contracts 2018-19
PLAYER AGE WEEKLY WAGE CONTRACT LEFT


Bernd Leno (New Signing) 22 £90,0005 Years (2023)
Petr Cech 36 £100,000 Last Year (2019)
David Ospina 29 £40,0002 Years (2020)
Sokratis (New Signing) 30 £90,000 3 Years (2021)
Shkodran Mustafi 26 £90,000 3 Years (2021)
Laurent Koscielny 32 £90,0002 Years (2020)
Calum Chambers 23 £25,000
Rob Holding
22 £40,000 5 Years (2023)
Konstantinos Mavropanos 20 £25,000 5 Years (2023)
Krystian Bielik 20 £25,000 2 Years (2020)
Sead Kolasinac 25 £119,500 4 Years (2022)
Nacho Monreal 32 £65,000 Last Year (2019)
Héctor Bellerín 23 £100,000 5 Years (2023)
Stephan Lichtsteiner (New Signing) 34 £90,000 1 Year deal (2019)
Mohamed Elneny (New Deal) 26 £55,000 4 Years (2022)
Aaron Ramsey 27 £110,000 Last Year (2019)
Granit Xhaka (New Deal) 25 £90,0005 Years (2023)
Lucas Torreira (New Signing) 22 £75,000 5 Years (2023)

https://www.totalsportek.com/money/arsenal-player-salaries/
 

Anazivuka Kiwiziwizi tu


Hapo umeomgea msamiati ambao nashindwa hata niutetee vipi! Nadhani upo sahihi jinsi tulivyopenya
 
Kinachopredict magazeti yaandikwaje ni aina ya waandishi na ushabiki wao ktk timu wanazoshabikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We utakuwa unakutana na sunderland?
 
Mechi ya liverpool hakucheza?
Game ya liverpool sisi tulikuwa wazi nyuma mapazia tu ndiyo maana mlijipitia, tuliweza kuanza kufunga lakini zikarudishwa .Imagine liverpool mngekutana na beki ya jana mngepitia wapi.
Chelsea ni timu bora na haijafungwa kizembe kama unavyodhani kwa game ya jana yeyote angefungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…