MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
Nenda kwenu huko tuendelee ujinga wako kwani umekuwa au umefukuzwa kwenye timu yako hadi uje huku. Ni burudani tu kuwa mashabiki wa timu fulani kwani kuna kitu unachangia ktk klabu hata kadi huna unakaa kutupigia kelele hata uwanjani hujawahi kuingia hata siku moja.Zimebaki siku 4 muanze rasmi kugombea nafasi ya 6 na wakna wolves huko.
Hii sio team, na haijawah kuwa team bali ni pango la walowezi wanaovaa jezi.
Dah alikua kipa mzuri enzi zake hasa alipokua The Blues. Best wishes kwenye maisha mapya nje ya uwanjaPeter Cech ametangaza rasmi kutundika gloves mwishoni mwa-msimu huu.
Wikiend hii Point tatu zingine zitaondoka apo Emirates..Tuangalie mbele, haya mapito tu ya muda mfupi,
Bado namuamini kocha ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Carabao ipi iyo?Hadi muende nafasi ya 10 ndo mtaelewa somo, sahivi mtaanza kupambania nafasi ya 6 na Wolves na Leceister.
Ila nawashauri komaeni na Carabao Cup maana ndo kiwafaacho.
Kakomae na klabu yako ubebe angalau taj hata moja,Hadi muende nafasi ya 10 ndo mtaelewa somo, sahivi mtaanza kupambania nafasi ya 6 na Wolves na Leceister.
Ila nawashauri komaeni na Carabao Cup maana ndo kiwafaacho.
Kakomae na klabu yako ubebe angalau taj hata moja,View attachment 995377
Sent using Jamii Forums mobile app
Lemar kaenda A.Madrid msimu huu sidhani kama itakua rahisi kuhama mapema hivi labda msubiri baada ya misimu 2
shukran kiongoziLemar kaenda A.Mandrid msimu huu sidhani kama itakua rahisi kuhama mapema hivi labda msubiri baada ya misimu 2
Sent using Jamii Forums mobile app
UmefufukaSasa kufukuzwa kwa Unai unamwingiza Klopp. Kwahyo sbb Klopp hajafukuzwa basi na Unai hawezi fukuzwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umeitoa wapi hiyo? ila kama kweli acha asepe tu hakuna maana ku-scout wachezaji halafu hawasajiliwiHili la mislitant limenistua...duh nasikia jamaa anataka kusepa
Sina hakika kama kweliMzee umeitoa wapi hiyo? ila kama kweli acha asepe tu hakuna maana ku-scout wachezaji halafu hawasajiliwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliambiwa Mourinho ndio huwa anagombana na wachezaji imekuwaje tena kipenzi Unai Emery?Hili la mislitant limenistua...duh nasikia jamaa anataka kusepa