Kweli mkuu hapo ni kuvunja Bank tu ili kuwa mbabe kwenye soka hata aje PEP kwa kikosi hiki bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelshit ndo nini wewe?? Tulia nakuja apo Anfield kuchukua point tatu ndo utakapo nieshimu..Wazee baba weekend ijayo mko na chelshit[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelshit ndo nini wewe?? Tulia nakuja apo Anfield kuchukua point tatu ndo utakapo nieshimu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mambo kama haya ndio ujue kwamba hakuna ambae yupo salama hasa upepo mbaya ukikupitia. angalizo kwa wadau wa LFC hifadhini shampeni zenu mbali mambo bado sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu mbona mapema. Juzi tu mmeshida game mfululizo mmemsifu Emery kuwa kocha Bora na kuenda mbali kwa kujitangaza na ubigwa.Emery vs Ozil inaanza kufanana na Pep vs Yaya Toure. Hawa Waspanish wana nyodo. Emery anachangia kuzidi kutuharibia. Emery out!!!!!
Duuu mbona mapema. Juzi tu mmeshida game mfululizo mmemsifu Emery kuwa kocha Bora na kuenda mbali kwa kujitangaza na ubigwa.
Sent using Jamii Forums mobile app