Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kumbe mzee mwenzio wa ukameniAcha kukurupuka ww huyo shabik wa liver na morata wap na wap
Punguza uoga wa kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp anaelewa shughuli atakayokutana nayo keshoAcha kukurupuka ww huyo shabik wa liver na morata wap na wap
Punguza uoga wa kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha vizuri sana kama unalifahamu hili suala.Tunaweza kupigwa na Chelsea au City lakin sio Arsenal hii iliyopigwa 3 na Southmptn na kudraw na Brighton
Haha mkuu klopp hana dharau za kijingaKlopp anaelewa shughuli atakayokutana nayo kesho
Wewe huku kutoka malamba mawili unataka kuaminisha watu tofauti na kloppView attachment 979670
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hata usiwe upande wao, tangia ligi imeanza kila upande uliopo wewe against LFC haujapata matokeo kama ambavyo itakua hapo keshoWanangu na London kesho ni ushindi acheni ujingaaa
Msiliaibishe jiji la London mazee..
Sisi majirani hatutowaangusha tutakuwa pamoja na nyinyi kwa sakina zote tisini na za nyoongeza.
Ila mkipigwa tunawakataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
atakuwepo mkuu
yaani kama wewe unaushika ukuta huko unguja ndio unafikiri wote ndio walivyo mkuu?wewe endelea kushika ukuta huko unguja yakheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sisi huku twaenda kuchana bikra ya mtuWrite your reply...Washika ukuta wa London bwana kwa kujisifu
kesho loserfoolish wakipigwa sijui utaweka wapi hiyo sura aseeeeeeeeeeeeeeehhhhhh
kesho loserfoolish wakipigwa sijui utaweka wapi hiyo sura aseeeeeeeeeeeeeeehhhhhh
livaPULU hana timu ya kuifunga ARSENALNitakuepo hapahapa
Kwani SOTON alivyokutungua Sura uliiweka wapi?
Hapa adui anatiwa jambajamba mwanzo mwisho au umeshasahau
Liverpool vs Ass-anal
Extra tip:Home team win to Nil
Sent using Jamii Forums mobile app
olasinac alikuwa anachechemea siku ile game ya brighton na alikuwa anacheza kwa woga sana ila taarifa ya timu haijamjumuisha katika majeruhi lakini pia jina lake halikuonekana katika list ya wachezaji watakaosafiri na timu kwenda anfield ila naamini huweza ikawa ni typing error tu jamaa atakuwepo ngoja tufuatilie taarifa kamiliNaskia kola kapata majeruhi sina uhakika lakin...kikukweli kwa huu moto wa liver chupu yetu ni 3....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikweli ,hadi mazoez ya mwisho leo alikuwepo,Naskia kola kapata majeruhi sina uhakika lakin...kikukweli kwa huu moto wa liver chupu yetu ni 3....
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yupo mzimak
olasinac alikuwa anachechemea siku ile game ya brighton na alikuwa anacheza kwa woga sana ila taarifa ya timu haijamjumuisha katika majeruhi lakini pia jina lake halikuonekana katika list ya wachezaji watakaosafiri na timu kwenda anfield ila naamini huweza ikawa ni typing error tu jamaa atakuwepo ngoja tufuatilie taarifa kamili