Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Its true
Kumbe unajua EPL hubebi, unakuja kupiga kelele humu za nini
Ww mme wako nan au yule zuwena zubeda?Kelele za mkazo wa SOTON
Au hujui kama soton mmeo?
Soton amekugonga eplWw mme wako nan au yule zuwena zubeda?
Mm najua huwez kubeba EPL ,
Mkuu kwa Liverpool msituangushe.maliza noma yako kwanza na leicester then uje....maana wanakuja tu
Hayo mawazo yako unatakiwa uyafute kwanzia sasa..Chelsea keshatahiriwa, man city kakatwa govi bila ganzi man United yuko mlangoni ameambiwa asubiri doctor arudi anakunywa chai.
Hii ndiyo ligi ya premier lazima tuelewane tu. Last week and this week btn mmetucheka sana.
Na leo natoa utabiri wangu mpya ndani ya top 4 toten na chelsea hawatakuwemo ila nina mashaka jini linaweza kuingia top 4.Ni mawazo yangu.
Atakuja kuweka pia apo Emirates,Vardy kashawaweka
Ukicheki ile gemu arsenal alicheza mpira m'bovu sana ..Burnley ni team mbovu na dhaifu sana, Arsenal bahati yenu mshukurun Auba la sihvyo ushindi mngeusikia kwenye bomba.
Ntajiua akiamia timu ambayo hata ndoto ya kushirik UEFA haina
Huyu jamaa ni Dangerous ni zaidi ya hatari ana skills, ana speed, na kizuri zaidi ana jicho la Goli balaa ......... Lakini sidhani kama anaweza kuwa value ya £ 72 ml ni nyingi mno........ mkibahatika kumsajili mtakuwa mmelamba mtu.Arsenal inataka kuvunja rekodi ya usajili ya Club kwa kupeleka kitita cha £72 millions kwa club ya Lille ili kupata saini ya winger wa club hiyo Nicolas pepe
Source, London evening standardView attachment 977249
Ila akashinda , halafu chelsea akacheza vzr dhid ya lei akagongwa 1 cha nguruweUkicheki ile gemu arsenal alicheza mpira m'bovu sana ..
Tulishacheza nao hakufunga ,zaid walipigwa magoli ya sex footballAtakuja kuweka pia apo Emirates,

Banega atatukumbusha Santi Carzola akija pale ana udambwi sio kidogo![]()
Ndio maana nimesema atatukumbusha tu, maana carzola alikuwa anatumia miguu yote miwili kwa ufasaha,Mkuu unajipa moyo tuu!!Itapita muda sana kuja kupata kiuongo kama Santi Cazorla
Kiungo anajua kudribble anajua kupiga pass normal na killer ones,anaejua kuhold mpira anajua kufunga akipata chance
Huyo Banega mzuri kama deep lying playmaker lkn kumpata wa kukusahaulisha Cazorla bado Mkuu
Kama ilivotake time kumpata wa kumrithi Vieira atleast for now unaweza ukamake case kwa Torreira ila the same itakua kumpata kiungo wa kuwasahaulisha mambo ya Santi Cazorla mojawapo ya viungo waliokua wamebarikiwa sana