Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Burnley ni team mbovu na dhaifu sana, Arsenal bahati yenu mshukurun Auba la sihvyo ushindi mngeusikia kwenye bomba.
 
Daaa wew jamaa unampamba Ozil kinyama

Wakati leo Ozil alikua hoiiiii anaachama tuu kama mbwa.

Hakuna cha ajabu alichofanya leo kaingia na mpira kwenye box akaishia kupiga ka mpira ka kirembo ndo bahat nzur uka reflect ukamkuta iwob akafunga.

Siku ozil anavua uzi wetu wa arsenal nitakutafuta kabisa humu humu.
 
Wew hiyo kitu hakuna hata siku moja

Striker tegemezi huwa hafanyiw hvo hata siku moja,
Nambie kocha gani anaetunza wachezaj hivo???
Mala kaanzia nje, tena kaanzia nje, hadi match kubwa na man u,
Alafu hachezi full anatolew kabla dakikq 90 hazijaisha.


Yani hyo kitu hakunaga hata siku moja.
Sio kwa mfululizo huo ndio maana hata yeye kachukia.
 
Yani laca anamsaada mkubwa ndio, lakin hapa kocha anakosea
Kataga kabisa anachofanya sio sahihi.
Hajawatambua vizur machaguo yake matatu ya mbele.
 
Burnley ni team mbovu na dhaifu sana, Arsenal bahati yenu mshukurun Auba la sihvyo ushindi mngeusikia kwenye bomba.
wewe ulimfunga ngap?wewe si walikukimbiza sana hawa.......au unajisahaulisha
 
Ila lazima ukubali ozil ana kipaji tatizo lake ni consistency.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…