Porojo nyingi mkuuwewe jitoe fahamu lakini uzuri wake mimi najua kuwa una akili timamu kabisa ila ukweli ni kwamba timu yako mara ya mwisho kuchukua ligi ni ile karne ambayo vita ya kwanza ya dunia ilipiganwa sasa sijui wewe ulikuwepo ama nini.......................na suala la EPL wewe hujawahi beba na ushahidi upo
Alicheza kipind cha piliMatch ya leo nini hamu nayo sana.
Hivi match iliyopita alicheza Ozil?
ukitaka kushinda EPL unatakiwa kuwa na sifa gani mkuu?Haha
Unafurahisha fact ni kwamba hutoweza kuifunga LIVERPOOL kwa sasa
2009 mpk leo umri wa mtoto kabisa ambae yupo drs la 4
Man u ni giant club kama ilivyo Liverpool na ndio maana nazihusisha
Maana ukitaka kushinda UEFA lazima uwe na uwezo wa kustahimil pressure ya hizi giant club vinginevyo utakuwa unatusuliwa tu kama wanavyo kufanyagaa
akuna porojo hapo huo ni ukweli halisi hata mwenyewe unajuaPorojo nyingi mkuu
Msimu wenu wa kujiua umefika
Wengi wenu washakufa nyinyi mmebaki mnashangilia hamshabikii
Alicheza kipind cha pili
Unafurahisha ulicho kiuliza unakifahamu sema umekaza ubongona
ukitaka kushinda EPL unatakiwa kuwa na sifa gani mkuu?
hahahhahahah kwahiyo mwaka wa wewe kuchukua ligi msimu wa 1989 mpaka leo huyo mtoto ana miaka mingapi? kweli nyani haoni kundule.................
kwahiyo kwahiyo hoja yako NOTTINGHAM FORREST nayo ni giant club?
jibu maswali hayo kiufasaha naamini na najua kuwa unajielewa so hutoyakimbia hayo maswali
Liverpool Trophies:Porojo nyingi mkuu
Msimu wenu wa kujiua umefika
Wengi wenu washakufa nyinyi mmebaki mnashangilia hamshabikii
Alicheza kipind cha pili
tatizo lenu ni hilo tu...yaani mkiulizwa maswali mnayacancel na kujitungia maswali mnayoyaona yatawapa faraja na kujifariji haya nishakuelewa naona hii battle huiwezi .....hahahahah eti old is gold ina maana NOTTINGHAM FORREST ni bora kuliko MAN CITY? please usigeuze hili swali jibu kama lilivyoUnafurahisha ulicho kiuliza unakifahamu sema umekaza ubongo
Nijibu hil swal
-taja giant clubs kutoka ktk ligi ya Epl?
Naamini ubishani kat yangu na ww utakua umeishaa
Liver hata isipo chukua kombe miaka 1000 huwez kaa mbele yake kiheshima
Wazungu wanasem"OLD IS GOLD"
Sawa mkuuTena kumbe wew shabik wa Liverpool.
Sis tunataka jitu korofi kama Gerrard.
Au mamidle wenu hao walivo kuntu kama nn.
Sis watu wa maana kwa sasa ni Torreira na Guendouzi. Kidogo mtatukoma na nyie liverpool
tatizo lenu ni hilo tu...yaani mkiulizwa maswali mnayacancel na kujitungia maswali mnayoyaona yatawapa faraja na kujifariji haya nishakuelewa naona hii battle huiwezi .....hahahahah eti old is gold ina maana NOTTINGHAM FORREST ni bora kuliko MAN CITY? please usigeuze hili swali jibu kama lilivyo
kwani game ya kwanza pale emirates hamkuona tofauti ilyopo ngoja nikuvutie takwimu za game then kama mwelewa utaiona tofauti iliyopo kati yenu na sisiSawa mkuu
Nangoja trh 29 kwa hamu hapa nimalize tofauti zetu na nyinyi pale ANFIELD
Haha man city kwa liverpool huwa anatuzid vingi mwisho wa siku wanadondokea4,3,2 juzi aliambulia drawkwani game ya kwanza pale emirates hamkuona tofauti ilyopo ngoja nikuvutie takwimu za game then kama mwelewa utaiona tofauti iliyopo kati yenu na sisi
Man of the match - Lucas Torreira (Arsenal)
View attachment 974507
Lucas Torreira gained possession 10 times, as well as winning 80% of his duels and having a pass completion rate of 89.1%
mbona hueleweki wewe...unamangamanga tu hapa sasa hivi unakimbilia katika muda sahihi kwahiyo kipindi kile liverpool alivyokuwa anaitafuta big4 kwa tochi alikuwa sio giant club?ongea ueleweke ,hebu tuambie muda upi ni sahihi mtu kuitwa giant club na muda upi sio sahihi?Hujui
Maana ya muda sahihi ww
Kwa sasa huwez muweka notten top kwa sababu kazikwa miaka mingi lkn histor yake haiwez potea kizembe na zikitajwa timu zenye troph nayo pia hutajwa so heshima yake haiwez achwa et kisa kadrop
ARSENAL kama vidume muingie hata big 4 miaka hii ya karibuni
Ntakufaaa mkiingia ntakufaaa
EUROPA is ur right place for now
UEFA ukipeleka kima TORORI mtaenda kuabikaa tu
Ozil hapo ni uchafu tuu wanampamba ili kukamilisha dili na PSG hakuna lingine.Binafsi hik kikosi naona ushindi mkubwa, kuwe tu na ushirikiano mzuri katika ya elnen, xhaka na guendouz
#COYGView attachment 974508
mbona hueleweki wewe...unamangamanga tu hapa sasa hivi unakimbilia katika muda sahihi kwahiyo kipindi kile liverpool alivyokuwa anaitafuta big4 kwa tochi alikuwa sio giant club?ongea ueleweke ,hebu tuambie muda upi ni sahihi mtu kuitwa giant club na muda upi sio sahihi?
Eleza mpk timu iwe giant inatakiwa iweje kwanza afuu afuu linganisha na huyo notten ulie mtaja kama vinaendanambona hueleweki wewe...unamangamanga tu hapa sasa hivi unakimbilia katika muda sahihi kwahiyo kipindi kile liverpool alivyokuwa anaitafuta big4 kwa tochi alikuwa sio giant club?ongea ueleweke ,hebu tuambie muda upi ni sahihi mtu kuitwa giant club na muda upi sio sahihi?