The GONO sio sawa na SEVILLA.Mtaanza nyinyi Kuntoa klopp ,maana toka aje hadi msimu huu atatoka kapa,
Unai ndio kwanza msimu wa kwanza, na Top 4 timu itaingia ,
Na silverware moja wapo atabeba ,maana ana kismati cha mataji,
Si unajua amehusika kwenye kumletea klopp njaa ya mataji, akiwa sevilla
tulia umalize noma yako kwanza na wanaume kutoka wolvesThe GONO sio sawa na SEVILLA.
The GONO mna hali mbaya akiumia mchezaji mmoja timu yote chini
2-3
2-0
USIJISAHAULISHE vipigo viwili mfuatano hivyo
tulia mkwaju wajaKujinyonga FC
Mnachojua washabik wa arsenal ni kujinyonga tu
ni loserfoolishnessWewe uko wapi kwanza? Kama manu basi sina la kusema, kama liver the drought goes on! Kama chelsea au mancity, dogo tulia kwanza usijione na ndevu ukadhani ni mkubwa.
Wewe unayeshinda ,mbona mwisho wa msimu unamaliza na ZERO trophies, shida nini ,The GONO sio sawa na SEVILLA.
The GONO mna hali mbaya akiumia mchezaji mmoja timu yote chini
2-3
2-0
USIJISAHAULISHE vipigo viwili mfuatano hivyo
Tulia ww ungekua una tropies kama za liver si ungejisifu wwWewe unayeshinda ,mbona mwisho wa msimu unamaliza na ZERO trophies, shida nini ,
liver imebaki kama jumba la makumbusho tu..................hakuna timu pale kazi kujisifia mafanikio ya vikongwe ya karne zilizopita huko ....hivi katika karne hii ya 21 livapulu wameshachukua epl kweli?Tulia ww ungekua una tropies kama za liver si ungejisifu ww
Una troph gan ww, hivo vibuyu 18 ,hata kuzaliwa ulikuwa badoTulia ww ungekua una tropies kama za liver si ungejisifu ww
Mwenyew kuchukia EPL mara ya mwisho 2003 chukua na sasa hivUna troph gan ww, hivo vibuyu 18 ,hata kuzaliwa ulikuwa bado
Timu toka 2011 mpaka leo ni UKAME
Achukue na makalio ama?Mwenyew kuchukia EPL mara ya mwisho 2003 chukua na sasa hiv
Mnapigwa 8 mchukue EPL ntajiua
Kwa matokeo haya wanaoumia ni Ass-anal na ChelshitWolves 0 Liverpool 2
Usiwape matokeo, hawakawiii kujinyonga hawa kwa matokeo yasiowahusu 😀😀Wolves 0 Liverpool 2
Wanajinyonga sana hawaUsiwape matokeo, hawakawiii kujinyonga hawa kwa matokeo yasiowahusu