Hakuna hata mmoja aliyebakia. Wachezaji wa Arsenal ndio bado vinara kwenye World CupHivi kuna mchezaji wa Manure au Chelsea aliyebakia kwenye World cup wajameni? maana walikuwa kelele miiiiingi eti wamejaa England team,... England yenyewe mdebwedo kitu. Anyway,....nilikuwa na beep tu. Bado nipo likizo
Hakuna hata mmoja aliyebakia. Wachezaji wa Arsenal ndio bado vinara kwenye World Cup
...afadhari umemkataza maana nimemuona Masanilo anapanda daladala kuelekea Kibaha internet, akiona tunazungumzia absence ya wachezaji wao WC atakasirika sana.......Kumbe?, mnh basi Sssshhhhh! (mnong'ono) " bora salama, tusijewakurupusha washabiki wa Chelsea na Manure bure hapa....!"
...afadhari umemkataza maana nimemuona Masanilo anapanda daladala kuelekea Kibaha internet, akiona tunazungumzia absence ya wachezaji wao WC atakasirika sana....
Jamani mechi yetu ya kwanza, against Liverpool tujitaidi tuwepo janvini tusalimiane na tuambiane tulikuwa wapi likizo,,,,,wengine wapo South, wengine Kibaha, wengine China etc...missing u arsenal fans
Arsene Wenger is adamant that he wants to sign the Vuvuzela's as all he keeps hearing is what an impact the vuvuzela's have had on the world cup. He has sent out Arsenal scouts to find them, this might end up trophy-less seasons! Wenger Go Go for the VUVU's
Wenger - I'd sign a petition against vuvuzela | World Cup 2010 News | World Cup 2010 | News | Arsenal.com
Back to the nyuzi ibn nyuzi.... Hivi kuna mchezaji wa Manure au Chelsea aliyebakia kwenye World cup wajameni? maana walikuwa kelele miiiiingi eti wamejaa England team,... England yenyewe mdebwedo kitu. Anyway,....nilikuwa na beep tu. Bado nipo likizo
Together we stand!
Hakuna hata mmoja aliyebakia. Wachezaji wa Arsenal ndio bado vinara kwenye World Cup
...Kumbe?, mnh basi Sssshhhhh! (mnong'ono) " bora salama, tusijewakurupusha washabiki wa Chelsea na Manure bure hapa....!"
...afadhari umemkataza maana nimemuona Masanilo anapanda daladala kuelekea Kibaha internet, akiona tunazungumzia absence ya wachezaji wao WC atakasirika sana....
Jamani mechi yetu ya kwanza, against Liverpool tujitaidi tuwepo janvini tusalimiane na tuambiane tulikuwa wapi likizo,,,,,wengine wapo South, wengine Kibaha, wengine China etc...missing u arsenal fans
Yatawafaa sana Arsenal
Hahahaha! Nasikia Arsenal mmechukua Kombe la Dunia, kwa sababu Cesc "bench warmer" Fabregas na Robin "World Cup flop" van Persie bado timu zao ziko SA!!
Ni kati ya waheshimiwa wakubwa hapa JF.......wana detector, ukiwaandika tu, wanafahamu..........ebana weeeee, hawa hapa!!!!...hawapigiwi wanacheza. ha ha ha....wazeee hamtajwi?
OK,Arsenal football club has win World Cup 2010
.. Roooney ♫ Rooney ♫ Rooney!
teh teh teh kaonyesha kiwango kwa Madiba!
...ha ha, Belo unamkumbuka DIEGO FORLAN? yaani jamaa ni mnoma kitu. Picque, Tevez na sasa Forlan wameamua kumdhihirishia Sie Alex alichemka kuwauza.... Roooney ♫ Rooney ♫ Rooney!
karibu mkuu,tupo tupo.watu walikuwa wanakuulizia sana kwenye jukwaa la world cup,wewe tu ndio ulikuwa huonekani sema kuna mtani wako mmoja alisema ni kwa vile haukua na matumaini na timu yako ya England lol....aheim!... vipi wakulu wa Imarati, salama lakini?...likizo inakaribia kwisha, tutakuwa pamoja very soon.
Nikitoka nje ya mstari kidooogo, hivi Tanzania tuna Gundu nini?...
Ivory Coast walikuja kujipima nguvu kabla ya Africa Cup na Taifa Stars, wakaahidi wakitwaa ubingwa wa CAF watakipeleka kikombe Kilimanjaro,...wakabwagwa puuuu,...chini!
Brazil nao walikuja jipima nguvu na Taifa Stars, nao leo puuu wamebwagwa chini... kwa wenye mioyo midogo ibn toboa tobo, tunaona hii si bure...kuna walakini. Kujipima Nguvu na Taifa Stars ni kujitia nukhsi tu!...
Back to the nyuzi ibn nyuzi.... Hivi kuna mchezaji wa Manure au Chelsea aliyebakia kwenye World cup wajameni? maana walikuwa kelele miiiiingi eti wamejaa England team,... England yenyewe mdebwedo kitu. Anyway,....nilikuwa na beep tu. Bado nipo likizo
Together we stand!
karibu mkuu,tupo tupo.watu walikuwa wanakuulizia sana kwenye jukwaa la world cup,wewe tu ndio ulikuwa huonekani sema kuna mtani wako mmoja alisema ni kwa vile haukua na matumaini na timu yako ya England lol.
sie tupo na tutarudisha majeshi rasmi baada world cup.naishukuru sana world cup mwaka huu manake kama isingekuwepo saa hizi humu tungekuwa tunaumiza kichwa na mambo ya usajili ya mzee AW.
Factfile: New signing Laurent Koscielny
Laurent Koscielny completes move to Arsenal | News Archive | News | Arsenal.com
Ni Mfaransa + Mpolish....haijajulikana kama ni free ila news mbalimbali wanadai "a deal worth a reported £10 million."Itakuwa Mfaransa na free transfer!
Ni Mfaransa + Mpolish....haijajulikana kama ni free ila news mbalimbali wanadai "a deal worth a reported £10 million."