Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leno anapungufu makubwa sana ya kucheza mipira ya cross
 
Dk 5 za nyongeza

Arsenal rudisheni basi [emoji51][emoji51][emoji51]
Kama akirudisha itakuwa poa lakin leo ni mara ya kwanza kupoteza baada ya michezo 22 ya mashindano yote aliocheza barani ulaya.
Ukiachilia mbali mechi mbili za mwanzo alizofungwa na vigogo.
 
Nilitarajia haya matokeo. Southampton ni wabaya kwetu hasa nyumbani kwa. Wapo kama Bolton wanderers na Stoke walivyokuwa
 
Niwape pole pamoja na kuchana ka mkeka kangu mmefungwa vigoli vichache tu ,tuendelee kutenganishwa na matokeo kama ivi itakuwa jambo zuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…