Tuna mapungufu makubwa ktk safu ya viungo na katika timu zote 5 zinazowania nafasi 4 za juu basi Arsenal ndio dhaifu zaidi katika idara hii. Denilson,Song,Diaby hii combination ni mbovu kabisa! (Hii ndio Internal solution aliyotuahidi AW) Ni Nasri peke yake ndio amefiti. Nimesikitishwa sana na AW, nilitegemea katika dirisha hili kusajili alau wachezaji wawili wenye uzoefu wa EPL kuziba mapengo ya Walcoltt,Rosiscky, Fabregas lakini wapi? Mwezi umeisha na tuendelee na machungu tu!!!
Kwa kweli nafasi ya 3 ama 4 ndio realistic goal kwa sasa na hili nadhani linawezekana bado.
Mechi 8 zinazofuata naamini tutakuwa juu ya Villa kabla ya April 4. Nikiangalia fixture yetu na ya Villa sisi tuko na favour, Tuko nyumbani dhidi ya W/ham,S'land, Fulham, B'burn na Man City. Ugenini dhidi ya Spurs, W'brom na N'castle wakati Villa wana mechi ngumu away dhidi ya L'pool na ManU na nyumbani dhidi ya Chelsea! Sasa kama tutaboronga hapa tena?
The Genius AW muda wake umekwisha, tunahitaji Manager mpya kama Rijkaard aje na ideas mpya bila kubadili our style of football.
Next 8 Fixtures
A Villa
Saturday, 31 January 2009
Aston Villa v Wigan
Saturday, 07 February 2009
Blackburn v Aston Villa,
Saturday, 21 February 2009
Aston Villa v Chelsea,
Sunday, 01 March 2009
Aston Villa v Stoke,
Wednesday, 04 March 2009
Man City v Aston Villa,
Sunday, 15 March 2009
Aston Villa v Tottenham,
Sunday, 22 March 2009
Liverpool v Aston Villa,
Saturday, 04 April 2009
Man Utd v Aston Villa,
Arsenal.
Saturday, 31 January 2009
Arsenal v West Ham,
Sunday, 08 February 2009
Tottenham v Arsenal,
Saturday, 21 February 2009
Arsenal v Sunderland,
Saturday, 28 February 2009
Arsenal v Fulham,
Tuesday, 03 March 2009
West Brom v Arsenal,
Saturday, 14 March 2009
Arsenal v Blackburn,
Saturday, 21 March 2009
Newcastle v Arsenal,
Saturday, 04 April 2009
Arsenal v Man City,