Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
We hufai kuwa kocha... Haya mambo ya kuwasema vibaya wachezaji kama Morinho ndo yanaletaga migogoro na kuwafanya wachezaji wasijiamini... Kwenye media huwezi kumsema vibaya mchezaji... Ila kwenye training pitch kule watamalizanaArsenal manager Unai Emery: "I think we controlled the game, the second half better than the first. We could have won this match in certain moments, but they equalised very quickly after both our goals.
"We need to improve defensively, but we need to have balance and not lose our attacking chances.
"We perhaps lost a bit of control there but we created lots of chances after 2-2 and I am very proud of our performance. We wanted to win but we can feel this point is good.
"Sead Kolasinac came off with his head down but I said to him he had a very good match in attack and you have to be positive and learn from this match."
Emery anamtetea vp Kolasinac?
Be clearly Mr Emery, Kolasinac was awful today especially in defending...He's solely responsible for the draw. He was exposed and caught out of position several times...His mistake cost us dearly.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupata kichekesho kingine kama hichi tuma neno ARSENAL kwenda 1515Yaani hawa jamaa wakishinda wakidraw ama wakipigwa wanabaki kwenye nafasi yao ile ile, ninaamini nafasi yetu ya tatu inatusubiri, Chelsea na Tottenham watapoteana tu
Wenye kujua mpira mzuri watamteka tu simuoni akidumu paleHuyo mtoto pale Kati kalivuruga dimba anavyo taka, mi man u inatumbua macho tu. Huyo jamaa atakuja kua mnoma sana
Namuona Barcelona muda sio mrefu.Wenye kujua mpira mzuri watamteka tu simuoni akidumu pale
Huwez kuchukua mchezaj arsenal kizembe,Wenye kujua mpira mzuri watamteka tu simuoni akidumu pale
man u wana wachezaji wazuri ila hawana teamworkMorning gunners
Mm kwa timu yetu ilivyo nlihesabia out of 9 points tungechukua 4(Tushinde 1 tupigwe1 na tudroo 1)lkn nashukuru sana tumepata 7 points still unbeaten!
Tuendelee kukaza na Jana ukitaka kujua man u ni wabovu combination ya toreira na Guandouz haijawah kuwa nzuri lkn Jana wao ndio walishain sana.All in all mechi na man u haijawah kuwa rahis kwa timu yeyote na tukumbuke man u wana wachezaj wazuri kuliko timu nyingi EPL sema wanakosa morali tu!Tusiseme ni wabov ila wanacheza kawaida na wakikamia wanapata kitu.
Bado nisemee japo Mateo alicheza sana lkn ni moja ya eneo kocha anatakiw kulifanyia kazi atafute m badala wa Xhaka kwn hapa ndio msingi wa arsenal.Mateo mzuri lkn too slow.Toreira anatakiw apatiwe kiungo kama Carzola yaan mwepesi wakiamua kwenda wanaenda na wakiamua kukaba wanakaba.
Nahitaji spirit ya Mustafi kwa partner wa toreira.Dogo Jana kaupiga mwingi ila jee zilikuw na madhara???Matic ni kiungo mwny nguvu sana Jana alihitaj kiungo mjanja au mwny nguv mwenzie hakika hapa tungewapiga vzr tu.Mateo alikuw anamkokota mwishow wanamwangusha au anapigwa tackling za nguvu na refa anapeta.
Kabisa, 3 points zilikuwa zetu, ila ndipo tulipofikia, kweli Emery anafanya kazi yake...Sijaelewa goli la pili tulilofungwa Kolasinac Alikua anajaribu kufanya nini...Easy way always kwa beki ni ku-clear mpira yeye anaslide kurudisha mpira...Kosa la kijinga sana.
I think kama tunatumia Wing backs kushambulia Emery hana budi kuwafundisha Bellerin/Kolasinac how to cross or to cut back mpira kwa Fowards...Bellerin anakua kwenye nafasi nzuri Mara nyingi Ila cross zake mbovu sana ama atamlenga kipa..He needs to improve.
Sijaridhika na point moja kabisa.Hususani Chelsea amepoteza na probably next game anapoteza kwa City.
Money power respectHuwez kuchukua mchezaj arsenal kizembe,
Timu ilishabadilishwa uongoz had mfagia uwanja,
Timu ipo kwenye traslation, inajengwa
Still unbeaten in what?Morning gunners
Mm kwa timu yetu ilivyo nlihesabia out of 9 points tungechukua 4(Tushinde 1 tupigwe1 na tudroo 1)lkn nashukuru sana tumepata 7 points still unbeaten!
Tuendelee kukaza na Jana ukitaka kujua man u ni wabovu combination ya toreira na Guandouz haijawah kuwa nzuri lkn Jana wao ndio walishain sana.All in all mechi na man u haijawah kuwa rahis kwa timu yeyote na tukumbuke man u wana wachezaj wazuri kuliko timu nyingi EPL sema wanakosa morali tu!Tusiseme ni wabov ila wanacheza kawaida na wakikamia wanapata kitu.
Bado nisemee japo Mateo alicheza sana lkn ni moja ya eneo kocha anatakiw kulifanyia kazi atafute m badala wa Xhaka kwn hapa ndio msingi wa arsenal.Mateo mzuri lkn too slow.Toreira anatakiw apatiwe kiungo kama Carzola yaan mwepesi wakiamua kwenda wanaenda na wakiamua kukaba wanakaba.
Nahitaji spirit ya Mustafi kwa partner wa toreira.Dogo Jana kaupiga mwingi ila jee zilikuw na madhara???Matic ni kiungo mwny nguvu sana Jana alihitaj kiungo mjanja au mwny nguv mwenzie hakika hapa tungewapiga vzr tu.Mateo alikuw anamkokota mwishow wanamwangusha au anapigwa tackling za nguvu na refa anapeta.
Only 2 unbeaten in EPL so farMorning gunners

Iwobi anatakiwa asaidiwe abadilikeIwobi kama anatuchelewesha ivi,au nimepaniki...?
Anajenga timu lazima umfanye mchezaji afanye vitu sahihi kolosinac alipo anajuta so profesional footballer yeyote lazima ajute sababu inaumiza.Arsenal manager Unai Emery: "I think we controlled the game, the second half better than the first. We could have won this match in certain moments, but they equalised very quickly after both our goals.