Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Mkuu mbona umekaa na machine gun kushambulia siafu?
mie hapo nategemea msemo wa babu zetu "mcheza kwao utunzwa" ngoja tuone kama ita work out.Any hope kwa African teams? ...
mkuu vipi? hivi ulitegemea dogo huyu ataenda south africa?Dah... maskini walcott!!!
tatizo lako mkuu unapenda ligi za jabu ajabu lol.
mie timu zangu zote za africa plus France (najua ngoma yao ngumu).waliobaki nitakuwa nashangilia raha ya kandanda safi na skills za wachezaji binafsi.
Kwa Afrika karata yangu nawapa Ghana............Kwa hao wakubwa nawapa Spain(Masa usiogope) na Uholanzi...........Brazil kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaali
ndiyo!!!mkuu vipi? hivi ulitegemea dogo huyu ataenda south africa?
Dah... maskini walcott!!!
Mkubwa umekalili na kuclaim! Yaani nacheka tu hapa kwanini unahasira na mimi? I no Capello, Walcott hafai hata reserve ya Chelsea huwa anakimbia na mpira bila malengo na akicheza na beki mzuri hes very predictable. Samahani kukukwaza
huyto dogo kila siku nasema tumenunua mbio pale dogo hana akili ya mpira na wala huitaji beki mzuri hata ukiweka mti uwanjani possibility yake 50% kujigonga kwenye mti wakati anakimbia na mpira.
ndiyo!!!
maskini walcott...
yyani kweli kweli kabisa walcot wamem-square root na kumuacha cole na heskey?? kweli kabisa yani kweli kabisa arsenal imeshindwa kutoa hata mbeba mipira kwenye weldi kapu?ha ha ha hizo zote hasira za kukosa champions league unatafuta weakness yoyote sasa utakuwa na wakati mgumu mkuu msimu ukianza.
yyani kweli kweli kabisa walcot wamem-square root na kumuacha cole na heskey?? kweli kabisa yani kweli kabisa arsenal imeshindwa kutoa hata mbeba mipira kwenye weldi kapu?
yyani kweli kweli kabisa walcot wamem-square root na kumuacha cole na heskey?? kweli kabisa yani kweli kabisa arsenal imeshindwa kutoa hata mbeba mipira kwenye weldi kapu?
Binafsi namuunga mkono Capello kwa kumuacha Walcott.......anatakiwa asahihishe makosa yake ili aweze kucheza 2014 ama 2018........Umri unamruhusu
Walcott signed for a wrong team! He is supposed to play up the mid, Wenger has refused to do that,Kijana anacheza out of position matokeo yake anakimbia kama Kiberenge! this has cost him a place in WC in SA. General speaking Wenger has ruined Walcott
Kama kuna mtu anamkumbuka Sunday Juma enzi hizo Simba, hana tofauti na uchezaji wa Walcott.Mi ni mpenzi wa Arsenal lakini nakubaliana na uamuzi wa Capelo kumtosa dogo.