Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
LENOArsenal Wamependekeza majina ya wachezeji wao 4 ndani ya timu. Majina hayo yametajwa jana kwa lengo la kuwapa Fursa mashabiki wa timu iyo. ili kumpigia kura mchezaji anaestahili kunyakuwa tuzo iyo. na mshindi atakae wazidi wenzake kwa kura uyo ndio atatangazwa rasmi km mchezaji bora wa timu kwa mwezi huu wa 11.
Lucas Torreira
Rob Holding
Alex Iwobi
Bernd Leno
Je? wew unampa mchezaji gani kura yako ambae anastahili kushinda tuzo iyo ya mchezaji bora wa Arsenal mwezi huu.
FOR ME NAMPA TOREIRA MASTER
Arsenal Wamependekeza majina ya wachezeji wao 4 ndani ya timu. Majina hayo yametajwa jana kwa lengo la kuwapa Fursa mashabiki wa timu iyo. ili kumpigia kura mchezaji anaestahili kunyakuwa tuzo iyo. na mshindi atakae wazidi wenzake kwa kura uyo ndio atatangazwa rasmi km mchezaji bora wa timu kwa mwezi huu wa 11.
Lucas Torreira
Rob Holding
Alex Iwobi
Bernd Leno
Je? wew unampa mchezaji gani kura yako ambae anastahili kushinda tuzo iyo ya mchezaji bora wa Arsenal mwezi huu.
FOR ME NAMPA TOREIRA MASTER
TorreiraTorreira bila shaka yeyote.
Bado sana, hapo juu liver mwenyewe hana garantiee, subir baada ya x mass kama hutakuta liver yupo namba 5
Sijasema...lazima iwe hivo, ila tambua hata liver hana garantii na hiyo nafas,You are right kijana! Liverpool atakuwa Namba 5, Arsenal atakuwa Namba 2.
Na Msimamo utakuwa Hivi (25 December)
1) Man City
2) Arsenal
3) Chelsea
4) Spurs
5) Liverpool
Timu inaweza kuwa pazur muda wote ikiwa haitakumbwa na mapungufu majeruhi yoyote kwa wachezaji.You are right kijana! Liverpool atakuwa Namba 5, Arsenal atakuwa Namba 2.
Na Msimamo utakuwa Hivi (25 December)
1) Man City
2) Arsenal
3) Chelsea
4) Spurs
5) Liverpool
Arsenal vs spurs
Napenda mshinde Ila sababu mnapoyoyo nying mfe tu
Mkuu bas msife mpate drawAcha unoko
Subir upigwe ww hapo hapo kwako ,Arsenal vs spurs
Napenda mshinde Ila sababu mnapoyoyo nying mfe tu
Ni matokeo pia ingawa ni very rare so sitashangaa mnaoshangaa ni nyiny msio jua maan ya mpira the gonoSubir upigwe ww hapo hapo kwako ,
Tulia bas acha ramli , pia tulia mshonweNi matokeo pia ingawa ni very rare so sitashangaa mnaoshangaa ni nyiny msio jua maan ya mpira the gono
Tulia bas acha ramli , pia tulia mshonwe
Kama ww ni kaz kushonwa, bas ungekuwa umeshafuzu hata uefa,Me na ww nani analeta ramli mkuu me kushonwa ni kaz Ila ww ni very simple ntarud baad ya dakika 90 win,draw,lose ndo huwa matokeo
Kwan tushatoka??Kama ww ni kaz kushonwa, bas ungekuwa umeshafuzu hata uefa,
Kwan nyiny mmefuzu uefaKama ww ni kaz kushonwa, bas ungekuwa umeshafuzu hata uefa,
Unasubir kukamilisha ratiba,Kwan tushatoka??