Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Baba sasa kwann hukushinda? Kwann mpaka utiwe na kuja kuchomoa dakk za mwisho. Muda wote huo ulikuwa unacheza nn hukushinda?
Kutokushinda ni matokeo lkn cha moto ulikiona

Tena mlitamba sana. Tukawaambia hapa,

Tulichoshuhudia ni fabinyo kucheza rafu na kuruka ruka tu

Na sitashangaa mkimaliza kapa msimu hu tena
 
Na tutawavuta wengi wa Dortmund.... Mwishowe tuwe ka bayern
 
Kutokushinda ni matokeo lkn cha moto ulikiona

Tena mlitamba sana. Tukawaambia hapa,

Tulichoshuhudia ni fabinyo kucheza rafu na kuruka ruka tu

Na sitashangaa mkimaliza kapa msimu hu tena
Nyie mkamaliza na nini?
 
Mwenzako anaongelea msimu huu. Nauliza nyie mtatoka na nn kama sisi tutatoka kapa?
Kwan ninyi si mmezoeleka bhana...mmeshindwa kwa ubora wenu wa last season mnategemea nn this season??!!!.... Timu isiyo na presha ya makombe...kila la kheri
 
Kwan ninyi si mmezoeleka bhana...mmeshindwa kwa ubora wenu wa last season mnategemea nn this season??!!!.... Timu isiyo na presha ya makombe...kila la kheri
Sawa. Nyie hamjazoeleka. Ngojen tuone mtapata nn huu msimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…