mkamilaevo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 302
- 441
woyoooo mgonjwa kaamka huku ICU
Daaah mechi za Ulaya bhana...kidogo tufungwe....woyoooo mgonjwa kaamka huku ICU
aisee mbele mbele tuDaaah mechi za Ulaya bhana...kidogo tufungwe....
Kikosi cha ushindi hicho....
Mbweha lazima akae
KalaleNi kweli Mkuu
Washabiki siwaoni leo hapa, au ndo mmeenda kutafuta mbinu za ushindi?
Hahahahaha mgonjwa Arsenal sahiv anadraw na vitimu vilivyopanda daraja hivi karbuni
Baada ya kushinda mechi za kizembe zembe mfululizo walianza kuja kwenye thread za watu kwa fujo wakitangaza ubingwa.
Sasa hivi hata thread yao ukiwafata huwakuti.
Arsenal ni moja kati ya timu yenye fanbase trusting spirit kubwa muda wote dunianiHahahahaha Acha wanyooke tena hawa wangecheza na Red star walingelishwa hata 10
Nafikiri Hatujapoteza mchezo mpaka sasa
Tupo unadhani hili chama tunaliacha ni letu nyakati zote. Tunaipenda timu yetu.Washabiki siwaoni leo hapa, au ndo mmeenda kutafuta mbinu za ushindi?
Woves siyo timu ya kizembe kama unavyofikiri.Man city wako vizuri walidraw nao halafu wewe unaibeza subiri ukutane nao.Baada ya kushinda mechi za kizembe zembe mfululizo walianza kuja kwenye thread za watu kwa fujo wakitangaza ubingwa.
Sasa hivi hata thread yao ukiwafata huwakuti.