Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Natamani kuona utofauti wa mzee unai atafanyaje sababu crystal hawataki kupoteza huu mchezo in no way nitafurah sana tukiwanyoosha sana
 
Mechi ngumu sana lakini tuna faida moja tu. Tuko kwenye hali ya mchezo.. sisi wanafunzi wa miaka hiyo physics tunasema tumegain momentum
[emoji3] [emoji3] sawa mkuu ila kuna yule jamaa wanamuita wilifred zaha ni wa kumtazama sana
 
Lineup ya the gooners, sio mbaya. Ngoja tuone game itakuwaje leo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…