UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Nafikir ni game plan ya jamaa actually sio nzuri na kuna wakati defense inayumba nafikiri tumpe muda tuone sababu anatia moyo kiukweli na kwa ligi kama ile ukiwa na mwalimu anaependa kuumia kichwa baada ya mistake lazima mafanikio yaje na hiki ndicho alicho nacho jamaa huwa hakati tamaa. Unaona kabisa anakijua anachokitakaHali sio mbaya kwa sasa,Unai ameleta kitu kipya lazima tukubali angalau sasa ivi timu ina plan B na wachezaji wa uthubutu wa kupambana mpaka mwisho bila kujali matokeo yaliyopo.
Ingawa tuna tatizo kutokua na nidhamu ya mchezo mwanzoni mwa mchezo mara nyingi kipindi cha kwanza tunakua tupo kawaida ikitokea tutakutana na wahuni ambao watatuadhibu vibaya kipindi cha kwanza itakua shida ila tunarudi mchezoni kipindi cha pili.
Natmani sna awe active muda woteHT 1-1, FT W 3-1 (West Ham, H)
HT 1-1. FT W 2-3(Cardiff, A)
HT 0-0. FT W 1-2 (Newcastle, A)
HT 0-0. FT W 2-0 (Everton, H)
HT 0-0. FT W 2-0 (Watford, H)
HT 1-1. FT W 1-5 (Fulham, A)
HT 1-1. FT W 3-1 (Leicester, H)
HT 0-0. FT W 0-1 (Sporting CP A)
Emery the 2nd half king
..it needs to change, tukikutana na wagumu itakuwa ngumu kuchomoka.HT 1-1, FT W 3-1 (West Ham, H)
HT 1-1. FT W 2-3(Cardiff, A)
HT 0-0. FT W 1-2 (Newcastle, A)
HT 0-0. FT W 2-0 (Everton, H)
HT 0-0. FT W 2-0 (Watford, H)
HT 1-1. FT W 1-5 (Fulham, A)
HT 1-1. FT W 3-1 (Leicester, H)
HT 0-0. FT W 0-1 (Sporting CP A)
Emery the 2nd half king
Nafikir hiyo ni option namba moja yake natamani kuona akikutana na hao wagumu kitu gani kitatokea..it needs to change, tukikutana na wagumu itakuwa ngumu kuchomoka.
Baada ya Crystal Palace tunakutana na majogoo wa Liverpool, hiyo ni test mujarab kabisa.Nafikir hiyo ni option namba moja yake natamani kuona akikutana na hao wagumu kitu gani kitatokea
klopp anapenda kupata ushindi wa mapema anapenda kupata magori zaid na anakasi ya mchezo natamani sana kuona tukimfunga mtu huyu sababu anaviungo wengiBaada ya Crystal Palace tunakutana na majogoo wa Liverpool, hiyo ni test mujarab kabisa.
KabisaBaada ya Crystal Palace tunakutana na majogoo wa Liverpool, hiyo ni test mujarab kabisa.
Natamani hawa nao tuwasajili wawe 14 win[emoji3]Baada ya Crystal Palace tunakutana na majogoo wa Liverpool, hiyo ni test mujarab kabisa.
Kuna mechi moja tena ya EFL na Blackbool kabla ya kukutana na liver.Baada ya Crystal Palace tunakutana na majogoo wa Liverpool, hiyo ni test mujarab kabisa.
Kwenye ligi namaanisha...!!Kuna mechi moja tena kabla ya kukutana na liver.
nimekuelewa.Kwenye ligi namaanisha...!!
Yah ni dhidi ya Blackpool ila hii ni kwenye carabao cup ila kwenye epl ni liverpool aftr crystal palace.Kuna mechi moja tena kabla ya kukutana na liver.
mkuu me too 0762247301Subir niliwasilishe kwa admin
Muda wa liver kuisumbua arsenal ulishaisha wao wasubiri kichapo tu hatuna namna ni wakati wa kujenga heshima mtaani.Klop anaumizaga kichwa sana yule jamaa yani nmtafakari mpaka inafika hatua naona bora nisubir siku ya game
GoodMuda wa liver kuisumbua arsenal ulishaisha wao wasubiri kichapo tu hatuna namna ni wakati wa kujenga heshima mtaani.
Mechi ipi? Wanakufa wachezaji na mechi hazihairishwi sembuse ajali tu ya helikopta?Waungwan vip, naskia game yetu imeairishwa kutokana na ajali aliyo pata mmiliki wa Leicester city, kama kuna yoyote ana taarfa za uhakika kama game ipo au imehairishwa anijulishe
Sawa mzeeMechi ipi? Wanakufa wachezaji na mechi hazihairishwi sembuse ajali tu ya helikopta?