Mr. Mwalu
JF-Expert Member
- Feb 4, 2010
- 1,057
- 565
Huo Ni Mchanganyiko wa Matokeo Moaka ya Carabao na FA bro...
Hapa Tulikuwa Yukijadili EPL tu.
Lakini ukiangalia EPL hapo basis wewe umeshinda Michezo 6 Mimi Nimeshinda Michezo 4.
Hata Hivyo Hongereni Kwa Kufuta uteja.
Boss hii statement yako ilinistua
''Iwapo umeangalia Mpira Kuanzia 2005 ndiyo utasema Maneno hayo..
Lakini Kabla Ya Hapo Arsenal ilikuwa ikikutana Na Liverpool kazi Yake Ni Kuokota Mipira Nyavuni tu.
Arsenal Ndiyo Timu Pekee Uengereza iliyofungwa na Liverpool Miaka 8 mfululizo tokea Kuanzishwa Kwa EPL mwaka 1992.
See below ↓↓:' na hiyo screenshot niliyokutumia ni ya kutoka 2000 - 2006 ambapo katika match 18 umepata 3 draws, na umeshinda 4 tu!! hebu jaribu tene kunitafsiria hii *Lakini Kabla Ya Hapo Arsenal ilikuwa ikikutana Na Liverpool kazi Yake Ni Kuokota Mipira Nyavuni tu*

