Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kizuri zaid kocha hana utani na hizi mech ndogo ndogo, ndio maana wameshangaa gafla walitangulia ,gafla tunawapumulia kwa point 2, huku tayar kocha kashapata Kiungo cha kueleweka, beki inazid kuimalika, mwisho watashangaa tuna strong team tunapambana nao ubingwa, naiman tukiuwasha huu moto had kwenye mech ya liva nov 3 , bas watatuheshimu, maana wenger mech kama hiz za unai alikuwa anapigwa
Mzee inaelekea haya mambo hukuyategemea enh? It emerges as a surprise to you!
 
Tatizo hamkutarajia ,mlidhan wenger kaacha timu mbovu,subirin soon mtaelewa kuwa tunautaka ubingwa sasa
Wewe ndo hukutarajia, maana baada ya kushinda umeanza kuzurura kwenye threads za other teams. Cool down brother.
 
*KLOPP AT LIVERPOOL*

3 years at Merseyside
Money spent = £672M
Trophies = 0
Hugs =18000
Total pressing = 21000

Touchline antics=3400
Unnecessary laughter= 4543
Toothpaste use=150
Spectacles broken=10
Unaongelea mafanikio ya Klopp au ya klabu?
 
Unaongelea mafanikio ya klabu ama kocha?? Leta mafanikio ya Arsenal na Liver hapa. So unaanza tokea ... tokea...
Hata kabla ya klopp bado mlikuwa na ukame, ,

Japo klopp kaja kuuendeleza tu

3 years ago today, Liverpool FC named Jurgen Klopp as their new manager.

Since then:
*2015/16: UEFA Europa League runner-up.*
*2017/18: UEFA Champions League runner-up.*

*Carabao Cup Runner up,, we can call him Mr Runner up.*
JK wa 3
 
Iwapo umeangalia Mpira Kuanzia 2005 ndiyo utasema Maneno hayo..

Lakini Kabla Ya Hapo Arsenal ilikuwa ikikutana Na Liverpool kazi Yake Ni Kuokota Mipira Nyavuni tu.

Arsenal Ndiyo Timu Pekee Uengereza iliyofungwa na Liverpool Miaka 8 mfululizo tokea Kuanzishwa Kwa EPL mwaka 1992.

See below ↓↓:

View attachment 891005View attachment 891007View attachment 891010View attachment 891012


Kwahiyo Arsenal Kwa Liverpool ilikuja Kuibuka Kuanzia Mwaka 2005 kipindi cha Benitez alipokuwa akinyanyaswa na Wenger mpaka Kufikia Mwishoni Mwa Miaka ya 2010 tu.

Lakini Usijisifu Kuwa eti Liverpool iliwahi Kuwa Mteja Wa Arsenal...

Bali Arsenal ndiye mteja Wa Kudumu Wa Liverpool..
Ila hutokezea Kipindi tu ukawa unajikwamua na tukawa tunafungana.

Usikariri Miaka uliyoanza kuijua Arsenal.
Boss hii
Screenshot_20181010-025614.jpg
 
Kuna kitu nakiona kwa huyu fundi

Ataleta competition ya namba Kule mbele na pia tutakua na mtu mwenye kasi na mashuti muda wote kama ilivyo sifa ya washambuliaji kutoka America

Ubingwa msimu huu unawezekana kama wachezaji watakomaa kila mechi maana mpaka now tumepoteza game mbili tu na ni game ngumu....Ukiangalia balance ambayo ipo sasa na ushindani wa namba naamini kuna kitu UNAI EMERY anafikiria

JANUARY TRANSFER WINDOW
Yes hapa SVEN MISLITANT naamini ana target yake kubwa na naamini bodi imeshamuahidi kumpa anachotaka naamini tutaletewa wapambanaji

LACAZETTE
Nina imani atanipa 20 goals msimu huu kama ataendelea na moto huu alio nao na kama majeruhi yatampitia mbali pia

Mmmmmhhhh labda ni mawazo yangu tu ngoja tuone...

Ila Jaribu kufikiria je..? Unai na Sven wamekuja kuuza sura Arsenal..?
Je..? Unai anapenda kutukanwa na mashabiki...?
Je..? Unai hayataki mafanikio..?

Ukipata jibu mpe muda.......

Ila zile nafasi tatu za juu 1,2 au 3 moja wapo ni nafasi yangu MWANA ARSENAL

VIVA GUNNERS
VIVA UNAI EMERY
GO GO GO UNAI
#COYG
FB_IMG_1538738437371.jpeg
 
Mkataba wa Adidas ,sasa Arsenal inakuwa inapata £60m ,kwa mwaka ,watakaotuzid kwa EPL ni man u ,tu

Chelsea na yy anapata kama yetu
FB_IMG_1539148980214.jpeg
 
Back
Top Bottom