️
Magoli yote yamefungwa na wachezaji ambao ndio mara yao ya kwanza kuifungia Arsenal.
8 wins in row (kwenye mashindano yote) kitu kizuri ni kwamba hakuna anaeliongelea hili wameamua kukaa zao kimya wanasubiri tupoteze tu waanze tena kutunanga ni kitu kizuri wamekaa kimya uku vitendo vikitoa majibu zaidi.
Next game tuko na Fulham tunakipiga ugenini siku ya Jumapili.
We're famous
Na kwa sintofahamu kuhusu mkataba wa Ramsey ni vema jamaa asiwe sehemu ya mipango ya timu ili squad ijipange bila yeye maana iko wazi kwa mshahara anaoutaka basi january anauzwa.
Na kwa sintofahamu kuhusu mkataba wa Ramsey ni vema jamaa asiwe sehemu ya mipango ya timu ili squad ijipange bila yeye maana iko wazi kwa mshahara anaoutaka basi january anauzwa.