Kwenye Europa tunateleza tu kama zoezini vile. Kwenye ligi mechi zote tunamfanyia mazoezi Liverpool kudadadadeki lazima alipuliwe tu maana tumechoshwa na dharau.
Kila atakayekatiza lazima afyekwe miguu. Kama jini lenyewe safari hii tunalichinjia kuzimu. Arsenal forever.