Ozil na Ramsey mmoja wao au wote watatolewa kwani wapo too slow.
Ngome ya Arsenal bado iko imara na itategemea sana makosa ya beki mmojawapo Watford kupata goli.
Tunangojea kuona Watford wakishoka na mwisho kuishiwa nguvu ya aina ya mchezo wanaotumia wa kasi na kushambulia timu nzima.