Torreira alitolewa jana sababu ya majeruhi kwenye game yao na Mexico,so far sina taarifa sahihi ameumia kwa kiwango gani,nachukia sana hizi International break.
Torreira alitolewa jana sababu ya majeruhi kwenye game yao na Mexico,so far sina taarifa sahihi ameumia kwa kiwango gani,nachukia sana hizi International break. View attachment 861319
Ukisikia tu International break basi lazima ujiandae na machela sijui kwa nini BTW umemuona Xhaka alivyo mpuuzi yaani timu ya Taifa amekaza na kaupiga mwingi mpaka nimejiuliza au anatufanyia kusudi
Ukisikia tu International break basi lazima ujiandae na machela sijui kwa nini BTW umemuona Xhaka alivyo mpuuzi yaani timu ya Taifa amekaza na kaupiga mwingi mpaka nimejiuliza au anatufanyia kusudi
Inawezekana pia kile kitambaa kilimpa hamasa ila duh mpaka nikapata hasira kua uyu anatuhujumu akirudi gheto,recently jamaa amekua chanzo cha matatizo kwenye eneo lake la kiungo unaweza kuhisi katumwa na Wenger.