Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi 3 tulizocheza ya leo ilikuwa mbovu kuliko zote. Kwa mpira huu tusitarajie top 4
 
Mechi 3 tulizocheza ya leo ilikuwa mbovu kuliko zote. Kwa mpira huu tusitarajie top 4
Ila naona sababu ya mpira m'bovu ni kwakuwa timu ilikuwa ina pressure kubwa sana na hii ni kwa sababu ya kutofanya vizuri kwa mechi za mwanzo,ila tukishinda game mbili tatu naamini tutakaa sawa.
 
FT
Arsenal 3-1 WHU
Alhamdullilah leo tunapata ushindi wa kwanza ingawa ni kwa tabu sana ila muhimu ni hizi pointi 3.
Ni lazima uwe ushindi wa tabu kwa ligi ya uingereza. Timu unazoona vibonde man akakaa man city kaishia sare tena akitokea nyuma. Angalia liver nyumbani pale pale wamenusurika hakuna kibonde uingereza.

Na hii ligi vigogo watadhalilishwa sana. Sasa nijuavyo mimi arsenal wanabebeaga points kwa hao. Akipata mwarobaini wa kuwakanyaga wazee wenzake ubingwa nje nje tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EPL hatari sana yaani imewafanya mashabiki wa Manure wamekua wapole kuliko maelezo wakati walikua wanajazana kwenye thread yetu na maneno ya kashfa leo kimyaaa wananyukana wenyewe kwenye uzi wao.
Khe khe khe khe khe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.....naona na ninyi mmefufuka. Ligi imeanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EPL hatari sana yaani imewafanya mashabiki wa Manure wamekua wapole kuliko maelezo wakati walikua wanajazana kwenye thread yetu na maneno ya kashfa leo kimyaaa wananyukana wenyewe kwenye uzi wao.
Nimewafuata huko huko nimewapa vidonge.Niliweka kambi kule kabla ya game yao na baada ya game ili kumaliza umbea wangu. Na bado tutaheshimiana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…