Hivi hawa jamaa at some point at walikuwa 'tittle contenders'!?
Arsenal kweli jipu la kwapa jamani doh...
tatizo lake anapenda sana vitu vya bure au bei rahisi.mie nasubiri usajili wa beki ,kipa na midfielder.Wenger bana....bora aondoke tu...........Yeye akitaka kusajiri anaenda Ufaransa tu.....aaaaaaaaargh
Wakuu tuangalia nini atakachofanya wenger kwenye usajili........
Kuna mchezaji wa Barca anaitwa Xavi jamani huyu mnamzungumziaje? Hivi kwanini watu wasingekuwa wanampa zawadi mchezaji anaetengeneza magori?
Naona Spurs watachukua nafasi ya tatu! Hongereni sana
Arsenal team in full: Fabianski, Sagna, Campbell, Silvestre, Clichy, Eboue, Diaby, Nasri, Walcott, Arshavin, Van Persie
Substitutes: Mannone, Djourou, Gibbs, Merida, Eastmond, Lansbury, Vela
Mkuu Spurs wanaweza kuchukua nafasi hii ya tatu ukilinganisha na uwezo wetu wa sasa INGAWA mechi ya Fulham ya jumatano (final!) inaweza ikawafanya wachezaji wao wa-concentrate, na meneja wao abadili kikosi........let's wait
Ndoto zangu siziamini, eti leo Chelsea watatoka draw, MU watashinda.......
Arsenal team in full: Fabianski, Sagna, Campbell, Silvestre, Clichy, Eboue, Diaby, Nasri, Walcott, Arshavin, Van Persie
Substitutes: Mannone, Djourou, Gibbs, Merida, Eastmond, Lansbury, Vela
Dk ya 45 kipindi cha kwanza Arsenal 3 Fulham 0(Arshavin dk ya 21,V.Persie dk ya 26 na own goal from Baird dk ya 38)
Tupo pamoja LAKINI sitaki kusikia jamaa wamerudisha? Ulipata salamu zangu kwenye thread ya real madrid?
.....Pheeeeewww, msimu ndio umemalizika ndio mpaka August tena.
Mwenyezi Mungu atupe Uhai, afya na amani tuliendeleze jukwaa letu hili ambalo linawanyima usingizi mahasimu wetu.
It's such pleasure kukutana kwenye jukwaa hili week in-&-out wakuu.
(In no particular order) BAK, Wacha, Balantanda, Kweli, Arsene Wenger, Baba Mkubwa et al... michango yenu ipo juu ya msitari, no wonder jamaa zetu wa mtaa wa pili (Chelski na Spurs) plus kina Manure na 'Rossoneri' hawaishi kuchungulia humu!
Haya,
msimu umeisha tumemaliza tukiwa na pointi (75) 3 zaidi ya msimu uliopita (72). Sio mbaya compared na Odds zilivyokuwa against us.
Kilichobakia sasa ni Transfer News, Rumours & News Signings, World Cup nk...
We'll be back...
"Together we stand!"