Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msajilini Titus Bramble atawamalizia tatizo lenu

Hii mechi ya leo mngepata hata point moja kama nafasi za kipindi cha kwanza mnezitumia vizuri na beki yenu ingekomaa
Nafasi tulizozipoteza ndio zilizotufungisha kwa asilimia kubwa .. Anyway kuna matumaini fulani nnayaona ktk hii timu. Wachezaji wana kitete . After 1 or 2 wins watatulia na kucheza vizuri
 
Kwa anaejua Mpira Basi anajua wazi Kuwa Arsenal Haipo Vibaya Bali Mechi ilizoanzanazo tu Ni Mechi Ngumu vs Man City & Chelsea lakini Naamini After these tough Fixtures basi Timu itakaa sawa.
 
Kwa anaejua Mpira Basi anajua wazi Kuwa Arsenal Haipo Vibaya Bali Mechi ilizoanzanazo tu Ni Mechi Ngumu vs Man City & Chelsea lakini Naamini After these tough Fixtures basi Timu itakaa sawa.
Mkuu baada ya ratiba kutangazwa wengi tulijua haya ndio yatakuwa matokeo. Hata hivyo ukiangalia jinsi Arsenal walivyocheza leo utajua hakuna tofauti kubwa kati yao na Chelsea. Chelsea walikuwa clinical kuliko Arsenal, ingawaje Arsenal wwalipata nafasi nyingi za kufunga
 

Na vilevile usisahau Kuwa Chelsea alikuwa na Advantage ya Home Game
 
Arsenal game inayofata ni ya Westham, msiposhinda hiyo game ntakuwa na wakati mgumu sana, poleni kwa kuanza na wababe.

Natamani Liverpool tungekutana na ninyi kipindi hiki hamjapata moto tukawawasha 4 kama za msimu uliopita.
 
Morata kakufanya nini leo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ozil kawaangusha leo, kacheza ovyo sana na kivivu. Beki yenu pia ni mbovu labda isubiriwe kuwa waelewane baada ya muda. Ila cha kusikitisha katika kuwaambia ni kuwa sidhani kama mtacheza UEFA mwakani, nafasi ya Tottenham ataingia Chelsea hivyo poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…