Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Yaani keita na fabinho unawafananisha na xabi alonso na javier mascherano katika ubora wao hahahahahahah kweli wewe mpira umeujulia katika play station...........acha matusi
Hauna Timu Ya Kuifunga Arsenal Wewe Acha mboyoyo.Arsenal leo nikupige ngapi?
Chagua mwenyewe.
Football its a team work, ukipata combination (balance) nzuri na tactian mzuri unapata matokeo, majina mara chache sana majina huwa yana saidia! Kama Thierry henry wa juve, arsenal barca walikuwa tofauti mno, anelka wa arsenal, PSG, Bolton wako tofauti! Kwa case ya Liverpool ngoja tuone mechi moja so kipimo kizuri! Leeds united walikipiga champions league semi finals , ila walipoongeza wachezaji wakali nia ikawa kuchukua ubingwa wa champions league, kilichotokea mpaka leo premier league wanaangalia kwa Jirani! Tulia tuone jk ( klopp) anavyotupiwa virago mapema!Heri Mimi Niliyeujua Mpira Play Station Kuliko Wewe uliyeujua JamiiForum....
Unachojua Wewe Mpira Ni All about Chenga tu na si jengine Kwasababu Umeibuka Kutoka Chandimu.
Ninaposema Mido ya Sasa Ya Fabinho na Keita Ni Bora Kuliko ya Mascherano na Alonso jua Kama Mimi uelewa wangu Wa Mpira Ni Tofauti na Wako unaeamini Kiwango Cha Mchezaji Mmoja Mmoja Kuliko Teamwork....
Mimi Nazungumzia Complete Midfield na Sizungumzii Namba 6 na 8 kama ulivyofahamu wewe...
Nilichokiongelea hapo Kwamba Mido ya Kina Fabi & K8 Ni bora Kuliko ya Msc & Als Nazungumzia Complete Midfield yao Ni si viwango vyao Binafsi Kwani Ninajua Kuwa Masc Alikuwa Bora Kiuwezo Kuliko Fabi.
Bali Ni Kwamba Complete Mido ya Kina Alonso ilikuwa iko hivi Mscherano-Alonso-Gerrard-Maxi Rodriguez-Kuyt....
Lakini Hii yakina Fabinho iko hivi Fabinho-Keita-Henderson/Milner-Salah-Mane...
Sasa hapo Sijui umekurupuka Kutoka Kutoka Toilet gani ukaamua Kuandika Pumba.
LAKINI SIKULAUMU! NIMESHAFAHAMU KUWA NYINYI WAPENZI WA CHANDIMU MULIKARIRISHWA KUWA MIDFIELDERS NI NAMBA 6 NA 8 TU. Ndiyo mana ukaona Ni ALONSO & MASCH vs FABINHO & KEITA.
Jifunze Mpira kwanza, then jifunze Kumquote mtu.
Sio mboyoyo mkuu ..
Chelsea hii ya Morata sahau kuifunga Arsenal Nyie ni wateja tu na Mtaendelea kua Wateja,Sio mboyoyo mkuu ..
Kwani wewe una timu ya kuifunga Chelsea?
Au unarefer championship? Ile gemu walicheza andaeitini aise[emoji3] [emoji3]
Yani wewe icho kikosi chako kilichofungwa na man city ndo unifunge nacho Mimi? Ebwana wee!! jaribu kuwa siriyasi mkuu.Chelsea hii ya Morata sahau kuifunga Arsenal Nyie ni wateja tu na Mtaendelea kua Wateja,
Toka Fainal ya Fa mwaka Juzi Mnaabika tu ni Mwendo wa kutafuta droo na kupokea Vipigo na leo jiandaeni kisaikorojia
Mtafutieni Babu Yenu sigara nyingi Sana za kupunguza Machungu ya kipigo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Football its a team work, ukipata combination (balance) nzuri na tactian mzuri unapata matokeo, majina mara chache sana majina huwa yana saidia! Kama Thierry henry wa juve, arsenal barca walikuwa tofauti mno, anelka wa arsenal, PSG, Bolton wako tofauti! Kwa case ya Liverpool ngoja tuone mechi moja so kipimo kizuri! Leeds united walikipiga champions league semi finals , ila walipoongeza wachezaji wakali nia ikawa kuchukua ubingwa wa champions league, kilichotokea mpaka leo premier league wanaangalia kwa Jirani! Tulia tuone jk ( klopp) anavyotupiwa virago mapema!
Sent using Jamii Forums mobile app
David Ospina completes a loan move to Italian side Napoli.
COYG for the game against Chelsea!!!
Tunapitia ubatizo wa moto! Tough test.Naona ni w'end nyingine tunapita kwenye majaribu duh.
Tunapitia ubatizo wa moto! Tough test.
Mkuu hii lineup itafanya lolote kweli?Hakika mkuu,ila ukiangalia squad yetu imeundwa na complete players tunahitaji tu jinsi ya kuchagua timu kutegemea na aina ya mchezo hua natamani sana Lacz na PEA waanze kwa pamoja ili kutengeneza nafasi za kutosha.
Mkuu hii lineup itafanya lolote kweli?View attachment 840497
Xhaka na Mkhitaryan waliflop sana mechi iliyopita. Nilidhani Toreira na Lacca wangeanza mechi hii. Ngoja tuoneNimeicheki sijajua game plan ya mwalimu ila Ramsey,Lacz na Torreira kuanzia bench sijaelewa kabisa.
COYG.....[emoji837][emoji836]️