Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Uzuri ni kwamba Chelsea haitegemei foward ili kupata ushindi. Sio nyie akiumia Mo salah basi timu nzima inanywea (refer final uefa) sisi kila mchezaji ni mfungaji mkuu. Asipokufunga Willian atakufunga Hazard. Sasa iv hadi Kante Ngolo anatupia tu kwa iyo mkuu wee September jiandae kisaikolojia.
Usije ukadhani tunategemea mchezaji mmoja kama nyie.
Uzuri hadi beki za Chelsea zinafunga ..Alonso, Rugider, Azp ..
Mkuu tukimbie kufungwa na Man City bingwa mtetezi?Naona wale wachambuzi wa pre-season tayari wameshakimbia
Tuombe uzima wakati wa pre-season wachambuzi walikuwa wengi baada ya kipigo sijaona ule uchambuzi waoMkuu tukimbie kufungwa na Man City bingwa mtetezi?
Japo tumefungwa Timu yetu imemprove kiasi chake...
Vp wewe na Leicester uliionaje Timu yako?
Sasa Wewe na kikosi chako bora umebeba kombe gani mkuu?Timu yao kipindi cha karibuni haijafanya usajili mzuri kiburi kitawaisha tu. Eti nao kwa kikosi hiki wanamtambia Liverpool na Man City 😕
Yah ni mwaka huu tu ndo tumekosa.Ndo maana kila mwaka hamkosi UCL,hongeren kwa kutotegemea striker
Lakini kipindi chapili waliingia Karib wote.Man City kwani Walikamilika? Hujui Kama ulifungwa na Kikosi B cha Man City?
De Bruyne, Fernandinho, Silva, Otamendi, Sane, Jesus hawa wote Hawakuanza.
Sasa Wewe na kikosi chako bora umebeba kombe gani mkuu?
Mimi nina vikombe viwili ndani ya misimu miwili.
Mwaka huu naongeza vingine ..Wewe endelea kujenga timu.
Yani Liverpool akiumia Moh Salah, Mane na Firmino au mmojawapo akikosekana tu basi liver lazima ipoteane.Sijui ulisahau kwamba Superstrikers(Diego Costa & Didier Drogba) ambao Morata ndio amechukua kijiti kwao ndio Ilikuwa backbone ya nguvu ya kuchukua mataji au
Liverpool wameshaondoa huo utegemezi kwa kumsajili Shaqiri, hiyo Effect kisaikolojia huo inaprevail kwenye timu yeyote kipindi mchezaji nyota wa timu anapokuwa hayupo.
Liverpool wamesajiri viungo bora kabisa pale EPL ambao ni Naby Keita na Fabinho ambao pia wote wanajua kufunga , sasa sahau kipindi kile cha Midfield mbovu ya Milner na Henderson.
Yah ni mwaka huu tu ndo tumekosa.
Sasa nyie mliopata sijui mtaishia wap
Kwani magoli ya juzi yalifungwa na nani?Hamutegemei Striker wakati Kila Siku Munalialia na Morata pamona na Giroud hapa?
Tulikuwepo tulitolewa na Barca.hv mwaka jana mlikuwepo?
Tulikuwepo tulitolewa na Barca.
Tulikuwepo tulitolewa na Barca.
Goli la nne alilifunga DS, so game 1 - 0.Kwani magoli ya juzi yalifungwa na nani?
Kwenye gemu yenu assume Salah na Mane wasingekuwepo nani angefunga zile goli nne?
Unachekesha sana yaani hapo ndio umeitetea timu yako?Tuombe uzima wakati wa pre-season wachambuzi walikuwa wengi baada ya kipigo sijaona ule uchambuzi wao
Timu yangu most key players bado hawajagain momentum wengi hawakuwepo pre season(Pogba,Lukaku,Matic,Lingard) but tumeanza vizuri