Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kutoka kucheza ligi daraja la pili nchini ufaransa mpaka kufika nakuanza ktk kikosi cha arsenal dhidi ya mabingwa man cty na umri wa miaka 19.Kweli umejitahidi saana kukaba na kutibua ila sasa waliokuzunguka ndo viazi zaidi
 
Wewe pre season ulicheza vizuri sana ...uko nyumbani unashindwa kumfunga man city?
Uyo manywele wenu Mara kumi ata na fellain wa man u..

Kwa mpira wenu wa kizembe ivyo jumamosi nakupiga tatu kavu.

Nilikuwa na nyie leo ila mmezingua sana.
Juzi ulipigwa 2-0 na City kwenye community shield..
 
Huu msimu nakupiga Wewe na man City nje ndani.


Au sio

Hivi haujagundua kuwa ile mechi ya Round ya pili Kiungo cha Liverpool kilikuwa kibovu ndio maana mkashinda napo goli moja, kikosi unachosema utampiga Man City nje ndani Center Forward ni Morata!
 
Au sio

Hivi haujagundua kuwa ile mechi ya Round ya pili Kiungo cha Liverpool kilikuwa kibovu ndio maana mkashinda napo goli moja, kikosi unachosema utampiga Man City nje ndani Center Forward ni Morata!
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hatari sana mkali wangu. Huyo Morata Sub yake ni Giroud ambapo huyo Giroud kaanza mechi zote za World Cup tokea Makundi hadi fainali na hajafunga goli hata moja na ni namba tisa.
 
Haa haaa haa acha tu mkuu huyo morata
Mwenyewe kuna wakat wanaona Bora hata giroud
 
Uzuri ni kwamba Chelsea haitegemei foward ili kupata ushindi. Sio nyie akiumia Mo salah basi timu nzima inanywea (refer final uefa) sisi kila mchezaji ni mfungaji mkuu. Asipokufunga Willian atakufunga Hazard. Sasa iv hadi Kante Ngolo anatupia tu kwa iyo mkuu wee September jiandae kisaikolojia.
Usije ukadhani tunategemea mchezaji mmoja kama nyie.
Uzuri hadi beki za Chelsea zinafunga ..Alonso, Rugider, Azp ..
 

Ndo maana kila mwaka hamkosi UCL,hongeren kwa kutotegemea striker
 

Sijui ulisahau kwamba Superstrikers(Diego Costa & Didier Drogba) ambao Morata ndio amechukua kijiti kwao ndio Ilikuwa backbone ya nguvu ya kuchukua mataji au

Liverpool wameshaondoa huo utegemezi kwa kumsajili Shaqiri, hiyo Effect kisaikolojia huo inaprevail kwenye timu yeyote kipindi mchezaji nyota wa timu anapokuwa hayupo.

Liverpool wamesajiri viungo bora kabisa pale EPL ambao ni Naby Keita na Fabinho ambao pia wote wanajua kufunga , sasa sahau kipindi kile cha Midfield mbovu ya Milner na Henderson.
 
Haa haaa haa acha tu mkuu huyo morata
Mwenyewe kuna wakat wanaona Bora hata giroud


Timu yao kipindi cha karibuni haijafanya usajili mzuri kiburi kitawaisha tu. Eti nao kwa kikosi hiki wanamtambia Liverpool na Man City πŸ˜•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…