Tumepoteza mechi ya kwanza dhidi ya Manchester city, tumecheza lakini bahati haikuwa yetu. Huu ni mwanzo, bado tuna mechi nyingi mbeleni hivyo tunayo nafasi ya kubadilika na kupata matokeo.
Let's be patient, we still have time.πͺπͺ
Tumepoteza mechi ya kwanza dhidi ya Manchester city, tumecheza lakini bahati haikuwa yetu. Huu ni mwanzo, bado tuna mechi nyingi mbeleni hivyo tunayo nafasi ya kubadilika na kupata matokeo.
Let's be patient, we still have time.
Kwa mpira aliocheza arsenal na post uliyotoa utakuwa kipofu yule dogo kacheza mpira mkubwa sna kwa umri wake wa miaka 19 ujiangalie wengi kumbe si watu wa soka mmekalia unazi ujipange sana kwa arsenal usichukulie poa

Hii timu ni nzuri huwezi kulalamika wakati hata combination ni ya muda mfupi sana.Nina imani next week tutasajili ushindi. Ila wachezaji waongeze umakini hasa foward. Abu na Lacazate wamekosa magoli sana.