Nimerudi nilisema nitarudi humu siku wenger akienda sasa nimerudi nawasalimia ndugu zangu salama humu
Haya niwatakie siku njema niko nchini..
Nimefurahishwa sana na vijana wamenipa hope ya kueleweka infact sikupata muda wa karibu kuwatazama but nimefarijika sana kuona kuna aina ya falsafa zimechimbiwa kaburi