Pamoja na hayo bado cech ni namba 1 na atadaka yy, LENO ni kwa ajir ya baadae zaidi, cech bado ana uwezo, sema msimu uliopita aliangushwa na beki na kukosekana NAMBA 6
Kwa mtazamo wangu tunahitaji sana no 5 commanding defender huyu sokratis ni average player bellarin anatakiwa kukua vinginevyo atakuwa out of pecking order Monreal nawish awe kwenye kiwango chake huyu kolasinac ndo atakuwa weaklink ni just squad player he is not good enough pia tunahitaji pacey winger Auba akicheza katikati winger inakuwa inakuwa hamna kitu cech bado ni no 1 Leno awe introduced taratibu kumpunguzia presha pia
On positive side:- playing style safi Guendozi,Niles,Emile wanastahili first 11 kocha aanze kuwaamini tu,Iwobi tunamponda lakini anastahili kuwepo kama squad player on his days hasa big games sometimes huwa anafanya vizuri