Mikhi aanzie nje?utani huo
Tatizo ni umri wake, na epl ni ngumu sana sanaBREAKING NEWS: ARSENAL WANAFANYA MAZUNGUMZO NA SEVILLA KUMSAJILI STEVEN N'ZONZI
Arsenal wanafanya mazungumzo na timu ya Sevilla ya Spain kumsajili mhcezaji wa kiungo wa timu hiyo Steven N'Zonzi.
N'Zonzi ambae hivi sasa anashiriki kwenye kampeni ya fainali ya kombe la dunia na timu yake ya taifa ya Ufaransa, juzi alitoa angalizo la kutaka kuhama au transfer request.
N'Zonzi mwenye umri wa miaka 29, ana kipangele kwenye mkataba na Sevila cha kiasi cha pauni milioni 35 lakini anaweza kusajiliwa na Arsenal kwa kiasi cha pauni milioni 29 tu.
Kiungo huyo wa Sevilla na La Liga ni mmoja wa wachezaji walokuwa chini ya meneja wa Arsenal Unai Emery alipokuwa meneja wa Sevilla miaka mitatu ilopita.
N'Zonzi pia amewahi kuchezea timu za Blackburn Rovers na Stoke City za Uingereza kwenye ligi kuu ya nchi hiyo kabla ya kwenda Spain.
Kama mambo yatakwenda jinsi yanavyopangwa, basi wiki ijayo Arsenal watatangaza usajili wa wacheaji wawili wa kiungo Lucas Torreira kutoka Samprodia ya Italy na Steve N'Zonzi kutoka Sevilla kwa pamoja wakigharimu kiasi cha pauni milioni 52.
Uamuzi wa Arsenal kumsajili N'Zonzi ulifikiwa jana jioni baada ya jopo la wataalam kumshuhudia Marouane Fellaini wa timu ya Manchester United na timu ya taifa ya Belgium aking'ara uwanjani kuwalinda mabeki wane "Back Four" wa Belgium na kusaidia timu hiyo kuwafunga miamba ya soka duniani Brazil goli 2-0.
Meneja wa Machester United Jose Mourinho aliagiza Fellaini apewe mkataba mpya ili asaidie timu hiyo kwenye kampeni ya msimu wa 2018/19.
Hivyo uamuzi wa Arsenal kumsajili N'Zonzi ni wa kiufundi zaidi kukabiliana na wahasimu Manchester United na wapinzani wa karibu kama Manchester City, Chelsea na Liverpool.
Kusajiliwa kwa N'Zonzi kunaashiria kuondoka au kukaa benchi kwa Mohamed Elneny na Alex Iwobi ambao ni wachezaji wanaofikiriwa na Emery kupunguzwa.
Pia kunaonekana ni katika kuziba nafasi ya Jack Wilshere ambae jana amesajiliwa na timu ya West Ham.
Ashacheza hapo epl ,sańa tu, halafu kwasasa tunahitaj sana mchanganyiko wa matured player, toreira ni 22, nzonz 29, xhaka 25,Tatizo ni umri wake, na epl ni ngumu sana sana
Sijui lakini ngoja tuone
Tatizo ni umri wake, na epl ni ngumu sana sana
Sijui lakini ngoja tuone
Arsenal wamerudi nyuma hatua 100 na kuamua kumsajili Guendouzi kwa milioni 7
Interest na N'Zonzi imeisha na huenda akasajiiwa na West Ham au Everton.
Hawa wanakuja kuziba nafasi za Jack Wilshere na Santiago Cazorla.
Anatabasamu lakini linaonekana halitoki moyoni...Arsenal bado ipo moyoni.Kila la heri Wilshere naamini ipo siku utarudi tu home katika nafasi nyingine.
View attachment 806022
Imeniuma sana aiseeee saint carzola kutemwaArsenal wamerudi nyuma hatua 100 na kuamua kumsajili Guendouzi kwa milioni 7
Interest na N'Zonzi imeisha na huenda akasajiiwa na West Ham au Everton.
Hawa wanakuja kuziba nafasi za Jack Wilshere na Santiago Cazorla.
Kweli kabsa aiseeeKila la heri Wilshere naamini ipo siku utarudi tu home katika nafasi nyingine.
View attachment 806022
Jamaa anaipenda arsenal vbaya sanaAnatabasamu lakini linaonekana halitoki moyoni...Arsenal bado ipo moyoni.
Imeniuma sana aiseeee saint carzola kutemwa
Na Arsenal ama kweli pata shda umjue major wako
Dhaaaaaaaa aiseeee mwenyez Mungu amsaidie
Cazorla akiwa anafanya mazoezi kwenye gym ya timu yake mpya ya Villarreal.
Cazorla ni umri umemtupa na maumivu na maumivu ya kiwiko cha mguu yamekuwa yanarudi kila mara.
Amefanyiwa upasuaji wa hiyo tendon (au kwa Kiswahili Kano) mara kumi.
Arsenal wakamwambia wabadilishe mkataba uwe wa pay as you play (Jack Wishere amefanyiwa hivyo na West Ham).
Cazorla ni umri na jeraha lisilopona ndivyo vinayomwangusha.
Angalia jeraha lake kwenye kano baada ya upasuaji ambao umefanywa mara kumi.
Villarreal wamemwambia watamvumilia ingawa nafasi kwenye first 11 au hata bench itakuwa ni ngumu.
Vyanzo vya picha;
Picha ni za majarida ya Macca/Offiside/Getty.