Dogo mgiriki, hii ndio senior match yake ya pili, ya kwanza dhidi ya Manutd, licha ya kwamba Arsenal tulifungwa ila dogo alikula sahani moja na Lukaku bila kupaniki.
The Boss atakua nje ya uwanja kwa miezi 6 kutokana na majeraha na anatakiwa kufanyiwa upasuaji.
Kama ilivyo kawaida yake Ornstein ameanza kutoa mwanga wa nini kinaendelea kwenye ishu ya mrithi wa AW mara zote uyu amekua mtu wa kutoa taarifa sahihi zaidi kuhusu Arsenal
Kama ilivyo kawaida yake Ornstein ameanza kutoa mwanga wa nini kinaendelea kwenye ishu ya mrithi wa AW mara zote uyu amekua mtu wa kutoa taarifa sahihi zaidi kuhusu Arsenal View attachment 770291
Manchester City wameanza mazungumzo upya ya kujaribu kumnasa winga wa Leicester City, Riyad Mahrez ambaye huenda akaondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.
Pia Manchester United wako tayari kumwachia Anthony Martial kwenda Borussia Dortmund kama chambo ya kumnasa Christian Pulisic.
Hata hivyo winga huyo anayetajwa kuwa na thamani ya £40m anatolewa macho pia na vigogo wengine kama Liverpool, Chelsea na Arsenal.