Impact gani unayozungumzia wewe maanake hueleweki. Mimi nimeweka stats kuwa Arsenal hajaifunga Man utd at OT miaka 11 hizo tafsiri zako nyingine hazinihusu.So far man utd imekua na zaid ya makocha watatu. So kama Wenger aliprove failure mapema tu hakukua na sababu ya kusimama kifua mbele kwa 11 yrs but sababu ukizungumzia impact ya hiyo 11 yrs kwa timu kuanzia vikombe vya kitchen mpaka living room bado impact ya Manchester ni ndogo sana kwa Arsenal.
Najua kua wewe ni mtu makini na ni mfatiliaji mzuri pia unaweza kukubari kutokubaliana.
Ukisema Arsenal unapotosha ilipaswa kusomeka Arsenal ya WengerImpact gani unayozungumzia wewe maanake hueleweki. Mimi nimeweka stats kuwa Arsenal hajaifunga Man utd at OT miaka 11 hizo tafsiri zako nyingine hazinihusu.
Kwahio Arsenal amewahi kushinda mechi ya ligi OT in the last 11 years?! Onesha jinsi ninavyopotosha.Ukisema Arsenal unapotosha ilipaswa kusomeka Arsenal ya Wenger
Hapa nina kuelewa zaidiKwahio Arsenal amewahi kushinda mechi ya ligi OT in the last 11 years?! Onesha jinsi ninavyopotosha.
Acha tu, usimchekee, timu inamchemsha..Mmmmh hapa kwa hector umechemka mkuu
Mmmmh hapa kwa hector umechemka mkuu
Virekodi uchwara .....nikisema real madrid haijawahi ifunga arsenal toka MUNGU alivyouumba ulimwengu na sayari zake nafikiri hii itakuwa record kubwa zaidi ...hahahahaArsenal hajashinda mechi ya ligi OT kwa miaka 11
View attachment 761072
Katika hiyo miaka 11 Arsenal imecheza na Madrid mara ngapi?Virekodi uchwara .....nikisema real madrid haijawahi ifunga arsenal toka MUNGU alivyouumba ulimwengu na sayari zake nafikiri hii itakuwa record kubwa zaidi ...hahahaha
UmeuaaaaVirekodi uchwara .....nikisema real madrid haijawahi ifunga arsenal toka MUNGU alivyouumba ulimwengu na sayari zake nafikiri hii itakuwa record kubwa zaidi ...hahahaha
Hebu na nyie mashabiki achaneni na ujinga huo wa babu yenu. ACHANENO NA WATOTO WA SHULE HAO NUNUENI WACHEZAJI WANAOELEWEKA, miaka zaidi ya 15 hamna kombe lolote la maana na bado mnashabikia watoto hao..Huyu mavropanos anafaa kuchukua nafasi ya mustafi
Hiyo utajua ww lakini record ndio hiyo kama kawahi kumfunga basi weka hapa ushahidi wakoKatika hiyo miaka 11 Arsenal imecheza na Madrid mara ngapi?
Izo ni Fununu...Once upo a time in this thread niliwahi Kusema Kuwa Kuondoka Kwa Arsene Wenger is not something to be Happy Kwani no one knows Nani atakuja after him!
Sasa imedhihiri Kwani Katika Mchakato unaoendelea Wa Kutafuta Makocha Tayari Utata umsshaanza Kujitokeza Kwani Hadi Jana Wameamua Kuendelea Kumuengua Mtu Mwengine Katika List ya Target Zao.
Si mwengine Bali Ni Luis Enrique ambaye Board ya Arsenal inasema Wage demand Yake Ni Kubwa £25m/year kwahiyo they can't afford to pay him such amount.
Kwasasahivi Watu Ambao Wanaongoza Katika Mbio Za Kuinoa Arsenal Ni VIERA na ARTETA kutokana Na Board ya Arsenal Kuplan Kurecruit Cheap Coach ili Kubalance revenue zake.
This is TRANSITIONAL PERIOD