FT
Arsenal 4-1 WHU
Dakiki 20 za mwisho tumezitumia vizuri kila nafasi iliyopatikana imeleta goli ni wakati sasa wa Lacz + Auba wawe na combo naona mara zote wakicheza pamoja kuna kitu kinafanyika angalau.
unawachungulia wapinzani wako wa Wembley,kwa heshima ya final natamani mkutane na Chelsea,juzi wale kuku wa Spurs walipoanza kututusi na shombo kibao ikabidi dua zangu zihamie kwenu na wangeshinda London pasingekalika.